Baada ya kujifungua nje ya ndoa, mashabiki wamvaa Zamaradi

Binamu warumi kizazi kingine hiki ati!! Pakisomeka mtu anazaa faster
 
Hakuna mtoto haramu mimi cku mwanamke wng aseme mtoto wng ni haramu ndio atajua nini maana y haramu hata kma nimefunga ndoa y kanisani nae ataondoka 4 gud hata aje n ukoo wke hakuna msamaha.narudia hakuna msamaha
 
Kuna majibu kuntu maana inakera.
Utadhani wakimjua baba mtoto wanampelekea zawadi.
 
pesa inaongea na kutenda...binti kaamua kushikilia...endelea kuprint vimushaijas wahaya tuongezeke mjini...
 
Baba mtoto ni yule yule??

Jamani ni Ruge tena au? Warumi njo huku utujuze.

Yaani hyo thread nmeitafuta mpaka macho yamenitoka.Katunzi ka report nn?
 
hivi @moderators ndio nini kufuta thread ya Zari.............. nimekerekaje

cc @warumi

Ma mods wametukatishia stimu na movie yetu ya katunzi, au washapewa rushwa waizime scandal? Maana sielewi kibaya tulichokuwa tukikijadili, tatizo katunzi au kuna kingine??
 
Ma mods wametukatishia stimu na movie yetu ya katunzi, au washapewa rushwa waizime scandal? Maana sielewi kibaya tulichokuwa tukikijadili, tatizo katunzi au kuna kingine??

Tutaendeleza humu
 
Ma mods wametukatishia stimu na movie yetu ya katunzi, au washapewa rushwa waizime scandal? Maana sielewi kibaya tulichokuwa tukikijadili, tatizo katunzi au kuna kingine??

na mie ndio nimeshangaa wakati yalikuwa maongezi ya kawaida

Katunzi keshafanya yake mhhhhhhh......... nimekuwa mdogo kama piritoni
 
hawa moderetor nao mfyuuuu wameiondoa kisa nini sasa thread yenyewe haina hata matusi pyeeee wakajambe huko wanaboa
 
Mods where is our katunzi?

af ww nae mi nangoja nikuvalie kanga moko nkusute kumbe habari ya katunzi umeitoa kwa chagabibi ha ha ha ha hiyo ni kumchafua tu zari hakuna loloteeee
 
Ma mods wametukatishia stimu na movie yetu ya katunzi, au washapewa rushwa waizime scandal? Maana sielewi kibaya tulichokuwa tukikijadili, tatizo katunzi au kuna kingine??

ujinga ujinga tu hakuna hata cha maana cha.kuifuta ovyooo sana
 
af ww nae mi nangoja nikuvalie kanga moko nkusute kumbe habari ya katunzi umeitoa kwa chagabibi ha ha ha ha hiyo ni kumchafua tu zari hakuna loloteeee

Unavyojifariji katunzi anawapa jasho eeeh? Mwisho wa siku lazima mkubal ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…