Baada ya kujifungua nje ya ndoa, mashabiki wamvaa Zamaradi

Mashabiki wametisha ila kuna ka ukweli kidogo, sio zamaradi tu wanawake wengi siku izi wanajisahau wanaona kuzaa nje ya ndoa fashion, hii inachangia sana kuwepo kwa street children na ndio chanzo cha mateso kwa watoto wasiokuwa na hatia... bora zamaradi baba watoto wake kidogo nafuu hao akina mama mwantumu uko tandale hali ndo mbaya wanazaa kama kuku uwezo hamna bas shida tupu

Binamu warumi kizazi kingine hiki ati!! Pakisomeka mtu anazaa faster
 
binamu mbona una hasira sana...!!!
hhhahahaaaaa
we huna dhambi au ndo zamaradi?
hakuna mtoto haramu tendo linalofanyika ndo haramu
asiezini humu ndani nani labda?
si bora zama kazaa hao wanaotupa chooni!
hebu msijifanye nyie ndo wachamungu kuliko wengine wakati kuna watu wazinzi humu,wezi,wanfki,wala na waliwa tigo

Hakuna mtoto haramu mimi cku mwanamke wng aseme mtoto wng ni haramu ndio atajua nini maana y haramu hata kma nimefunga ndoa y kanisani nae ataondoka 4 gud hata aje n ukoo wke hakuna msamaha.narudia hakuna msamaha
 
Kuna majibu kuntu maana inakera.
Utadhani wakimjua baba mtoto wanampelekea zawadi.
 
pesa inaongea na kutenda...binti kaamua kushikilia...endelea kuprint vimushaijas wahaya tuongezeke mjini...
 
Baba mtoto ni yule yule??

Jamani ni Ruge tena au? Warumi njo huku utujuze.

Aunty sijui ya nani itakua ya msukuma labda[/QUOTE
In my shoes ya wiki iliyopita kama sikosei....Aunty alisema anawashangaa wanaotaka kujua baba wa mtoto wake ilhali yeye baba zao hawajui....
Hapo sasa...!!

Unapokuwa kioo cha jamii, basi inabidi mwenendo wako uungalie mara mbili, wewe ata ukizaa watoto kumi nani atasema? Jina lina matter sio vzur sio suala la wangapi wanazaa nje binamu

Kila mtu ana malengo yake katika maisha yake. Na sijui tunaelewa nini kuhusu kioo cha jamii.
Ila ni ujinga kushindwa kutimiza malengo yako kwa sababu eti "kioo cha jamii" . Hiyo hiyo jamii ndio inayojua kukusinga baadae. Akizeeka bila mtoto watasema " alipenda usichana akaogopa kuzaa"
Na kuhusu maandiko kila mmoja anajua anapokosea, au kwa vile la kuzaa linaacha alama ndio maana tunanyoosha kidole?

Hongera yake Zamaradi, mampongeza kwa sababu mimi binafsi maamini kuwa mama ni furaha na mafanikio yanayozidi kila litu.
HUWEZI KUMRIDHISHA KILA MTU AKAONA JAMBO LAKO KWA MTAZAMO CHANYA.
 
Team wazaa nje ya ndoa
 
Yaani hyo thread nmeitafuta mpaka macho yamenitoka.Katunzi ka report nn?
 
hivi @moderators ndio nini kufuta thread ya Zari.............. nimekerekaje

cc @warumi

Ma mods wametukatishia stimu na movie yetu ya katunzi, au washapewa rushwa waizime scandal? Maana sielewi kibaya tulichokuwa tukikijadili, tatizo katunzi au kuna kingine??
 
Tutaendeleza humu
 
na mie ndio nimeshangaa wakati yalikuwa maongezi ya kawaida

Katunzi keshafanya yake mhhhhhhh......... nimekuwa mdogo kama piritoni
 
hawa moderetor nao mfyuuuu wameiondoa kisa nini sasa thread yenyewe haina hata matusi pyeeee wakajambe huko wanaboa
 
Mods where is our katunzi?

af ww nae mi nangoja nikuvalie kanga moko nkusute kumbe habari ya katunzi umeitoa kwa chagabibi ha ha ha ha hiyo ni kumchafua tu zari hakuna loloteeee
 
Ma mods wametukatishia stimu na movie yetu ya katunzi, au washapewa rushwa waizime scandal? Maana sielewi kibaya tulichokuwa tukikijadili, tatizo katunzi au kuna kingine??

ujinga ujinga tu hakuna hata cha maana cha.kuifuta ovyooo sana
 
Aunty sijui ya nani itakua ya msukuma labda[/QUOTE

Hapo sasa...!!

Kila mtu ana malengo yake katika maisha yake. Na sijui tunaelewa nini kuhusu kioo cha jamii.
Ila ni ujinga kushindwa kutimiza malengo yako kwa sababu eti "kioo cha jamii" . Hiyo hiyo jamii ndio inayojua kukusinga baadae. Akizeeka bila mtoto watasema " alipenda usichana akaogopa kuzaa"
Na kuhusu maandiko kila mmoja anajua anapokosea, au kwa vile la kuzaa linaacha alama ndio maana tunanyoosha kidole?

Hongera yake Zamaradi, mampongeza kwa sababu mimi binafsi maamini kuwa mama ni furaha na mafanikio yanayozidi kila litu.
HUWEZI KUMRIDHISHA KILA MTU AKAONA JAMBO LAKO KWA MTAZAMO CHANYA.

Mkuu Da pretty pamoja na hayo..ila usihalalishe dhambi, mfano mtu muuaji huwezi kumwambia eti we endelea kuua tu maana mbona wapo wengi wanawauwa watu !! Kosa ni kosa hata km na ww ni mhanga wa hiyo dhambi kubali tu kuwa kufanya hivyo ni kosa... ww mtu kafanya kosa mara ya kwanza kazaa nje ya ndoa unaweza kuita ni bahati mbaya lakini sasa hii ni mara ya pili ..hiyo ni dhambi ya makusudi ..lazima tuseme ukweli hata km sisi pia ni wakosaji..
 
af ww nae mi nangoja nikuvalie kanga moko nkusute kumbe habari ya katunzi umeitoa kwa chagabibi ha ha ha ha hiyo ni kumchafua tu zari hakuna loloteeee

Unavyojifariji katunzi anawapa jasho eeeh? Mwisho wa siku lazima mkubal ukweli
 
Back
Top Bottom