Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
mi nlichokiona hapo lazma.kuna mgogoro wa kidini ruge sio mkristo? zamaradi muislamu....unajua yanayoendelea hapo kati???Team wazaa nje ya ndoa wakikusikia apa patatkuwa hapatoshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nlichokiona hapo lazma.kuna mgogoro wa kidini ruge sio mkristo? zamaradi muislamu....unajua yanayoendelea hapo kati???Team wazaa nje ya ndoa wakikusikia apa patatkuwa hapatoshi
ha ha ha ha mmh
Hahahaaa, humu leo ni league kati ya wanaozaa nje ya ndoa na wanaopinga.Bora nikae kimya tu nikuachie warumi maana naona unagusa 'maslahi' ya wengi.
Hivi warumi unadhani Ruge kazaa na Zama pekee? Mbona ana mwingine? Ukitaka kujua wanawake wa Ruge na watoto wake subiri birthday yake ifike ndio utajionea.Roho inaniuma sana kuona watoto wanahangaika ovyo mitaani, wadada mnajisahau sana mnadanganyika kirahisi mkiona wanaume wenye vijihela vyao tu basi mnapanua mkijua mtapata hizo pesa, watoto wangapi wanahangaika mitaani na baba zao wana pesa za kutosha? Tatizo ndo hilo watoto wa nje hawathamiki, ebu vuta picha ruge akioa mke mwingine, si atasema watoto wa zamaradi alizaa nje? Zamaradi atajisikiaje? NDoa tamu bwana asikwambie mtu na inaleta heshima
Hahahahhahaha.......we acha tu
warumi huko IG kimenuka Ray C kapost jimimba la Zari basi hizo timu zao zipo uwanjani kupigana ha ha haaaa dah Tz ni zaidi ya nchi asee! na wana tusi jipya saivi "hebu kaangukiwe na ukuta Tegeta uko" ha ha haaaa
Wala sijasema eti wengine hatufanyi dhambi, tunafanya tena chafu zaidi ya hyo, ila usihalalishe dhambi binamu, tusitafute faraja bandia, kuzaa nje ya ndoa ni fedheha na aibu kubwa sana especially kwa familia ya mwanamke, we unadhani zamaradi akiachwa na huyo ruge kuna mwanaume atakayetaka kumuoa? Acheni kuzaa nje mnawapa shida watoto wa watu ambao hawana hatia kwa starehe zenu za kumanua manua ovyo kama kuku 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
warumi huko IG kimenuka Ray C kapost jimimba la Zari basi hizo timu zao zipo uwanjani kupigana ha ha haaaa dah Tz ni zaidi ya nchi asee! na wana tusi jipya saivi "hebu kaangukiwe na ukuta Tegeta uko" ha ha haaaa
hahahaaa
nimegundua una chuki na zama kisa rugeeeeee
mie sijahalalisha dhambi ila nawaonea huruma maana mlishabikia wema azae nikuulize mlimpa mume au ndo bendera fata upepo....?!!
ushaombwa pampas labdaa..?
haya umeseme zama kazaa haramu na sie wambea wa humu na wasengenyi je?
sitetei uzinzi ila msijifanye wasafi kudhalilisha wenzenu
uite mtoto haramu wapi wameandika?
Mmmh povu limekutokaaa. Umeona umbea wa ray c uko insta? Kampost zari na mimba yake, mmh anavyohangaika na hyo mimba wakat yeye hazai
Team wazaa nje ya ndoa wakikusikia apa patatkuwa hapatoshi