Mwanza ni kitovu cha kanda ya ziwa sasa mikoa ambayo hupokea mwamko kutoka mwanza ni kama ifuatavo, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mara, Geita, Kigoma, Kagera na Katavi ukitoka hapo unakuja kumalizia Mbeya, Songwe, Rukwa hizo ndio kanda za uchaguzi kwa mgombea Urais ukiungwa mkono huko tayari maana mikoa hiyo wakishika msimamo ni mmoja Dar ni wengi kwa idadi lakini hakuna wapigakura, Lindi na mtwara wao lolote twende hawana msimamo, Iringa, Njombe, Ruvuma mikoa hiyo hua wao ni CCM kwenye Urais japo wakiamua lao ni lao lakini hakuna kura nyingi kama kanda ya ziwa magharibi ambayo kura hua ni nyingi, Kanda ya kati hawa hawawezi kuamua urais, Arusha na kilimanjaro pia hawawezi kuamua Urais kwa sababu ya idadi yao, Zanzibar haina kura za kuamua urais hata iweje,
Hivo nakuunga mkono sema kwenye uchaguzi kuna hiyo kanda ya ziwa magharibi ni nyeti mno hao wasipokuunga mkono umekwisha