Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

Mleta mada Ina uhusiano gani na Gwajima?

Wewe ni kabila gani?

Umeoa/ Lewa na msukuma?
 
Kama sanduku la kura likiheshimiwa sawa..

Ila kwa sasa muamuzi ni NEC ikishirikiana na polisi na washirika
 
1. Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.

2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu , Shinyanga, Mwanza , Geita na Tabora. Maeneo yote haya watu wanazungumza lugha ya kisukuma iwe mjini au vijijini. Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.

3. Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.
Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
 
Wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, sio kwa kanda ya ziwa tu.

Mikoa yote ya Kanda ya ziwa wasukuma wapo, Mara, Shinyanga, Tabora, Simiyu, Mwanza, Geita, pande za Kigoma na Katavi.
Kabisa mkuu
 
Ngosha kiasili hawana wenge wala makeke, wapo cool ndo maana ngosha unakuta ni tajiri sana lakini anakula ugali ule mgumu na mashamba boy wake, tena wananyang'anyana kwenye sinia au unaweza kukuta anakula mahindi ya kuchoma center na mashamba boy wake na hapo story zinapigwa kwa kisukuma kama kawaida.
 
Nimeishi na Wasukuma wachache wote wako serious na maisha hawapendi masihara ya kupitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…