Baada ya kukalia veto, Russia yakumbuka shuka kumekucha

Baada ya kukalia veto, Russia yakumbuka shuka kumekucha

Hao wahuthi ni wapuuzi, wapigwe tu washike adabu, walileta mikwara na vitisho vya kijinga huku wanajua kabisa hawana uwezo wa kupambana na madola makubwa ya marekani na uingereza ongeza na israel jumlisha na wanachama wa NATO kuingia vitani kuwasaidia wenzao. Tena wapigwe mpaka wanyang'anywe udhibiti wa utawala wao

Bei za mafuta zitakapopanda hadi huku uendelee kukenua hivyo hivyo.
 
Mwanzo wale wavaa kobazi walikuwa wanasema hao Houth ni kiboko ya Mayahudi, USA na washirika wake pindi walipokuwa wanachezea sharubu za baba lao huko bahari nyekundu.

Sasa wameyatimba, yaani siku moja tu ya kushikishwa adabu, ngonjera na maneno ya kwenye khanga yameanza.

Kuna wapumbavu wanadhani USA itaanguka kisa inashiriki vita muda wote, ngoja niwakumbushe wapuuzi hao kuwa katika miaka 248 ambayo USA imekuwa taifa huru, ni miaka 16 pekee ambayo taifa halijawa vitani.
Hivyo vita kwa USA ni biashara yenye faida kiuchumi.

Hongereni sana USA na UK kwa kazi njema.
Hakuna gaidi litasalia .

cc Kitimoto Maghayo MK254
Shoga la madrasa
Subirini wanakuja, msije mkakimbia tu. Sasa hivi wapo busy kutengeneza na ku edit Picha za maiti za watoto na wanawake wa 'Yemen' kwa ajili ya kusambaza mitandaoni kuwa US na Uingereza wamewashindwa Houth wameanza kushambulia shule na mahospitali
 
Subirini wanakuja, msije mkakimbia tu. Sasa hivi wapo busy kutengeneza na ku edit Picha za watoto na 'wagonjwa wa Yemen' kwa ajili ya kusambaza mitandaoni kuwa US na Uingereza wamewashindwa Houth wameanza kushambulia shule na mahospitali

1. Ulitambua hii mada kuwahusu nini ndugu?

2. Bei za mafuta zitakapopanda hadi huku uendelee kukenua hivyo hivyo.

3. Hapo #2 itapendeza ukija Kwa bashasha zaidi.
 
1. Ulitambua hii mada kuwahusu nini ndugu?

2. Bei za mafuta zitakapopanda hadi huku uendelee kukenua hivyo hivyo.

3. Hapo #2 itapendeza ukija Kwa bashasha zaidi.
Acha uoga wewe, bei ya mafuta ikipanda si unaongeza hela ya kununulia? Au hairuhusiwi?
Kwa hiyo hao Houth hayo mashambulizi yao ndiyyo yalikua yanashusha bei?

Halafu acha kujishusha, mnajua ninyi huwa hata hampendizei wala hamueleweki mkilalamika au kutoa taarifa za Kidunia bila picha za vifo vya wanawake na watoto? Na zile za mbinguni lazima ziwe na mito ya pombe, farasi mwenye mabawa na wale 72.
Ungeambatanisha na tupicha kadhaa ili kuipa uzito habari yako.
brazaj
 
Marekani mjanja sana anapopelwka haya maazimio. Anayafanya yaonekane innocent ila kumbe ndani kuna mtego

1. Huo ndiyo ulio msingi wa hoja na azimio analotaka sasa Russia dhidi ya marekani, marekani atalipigua veto.

2. Hapo ujinga siyo mzigo?

3. Mamburula wa kwetu waielewe vipi mada kama si ushabiki uchwara tu?
 
Acha uoga wewe, bei ya mafuta ikipanda si unaongeza hela ya kununulia? Au hairuhusiwi?
Kwa hiyo hao Houth hayo mashambulizi yao ndiyyo yalikua yanashusha bei?

Kabisa, maana wajinga ndiyo waliwao.
 
Subirini wanakuja, msije mkakimbia tu. Sasa hivi wapo busy kutengeneza na ku edit Picha za watoto na 'wagonjwa wa Yemen' kwa ajili ya kusambaza mitandaoni kuwa US na Uingereza wamewashindwa Houth wameanza kushambulia shule na mahospitali
Hatukimbii, waje tu na misuli yao tutashughulika nao ipasavyo.
 
1. Kushindwa kuelewa mada ni tatizo sugu kwa mtanzania.

2. Mada inahusu vita mashariki ya kati.

3. Nani mwenye akili timamu anataka vita middle east?

4. Kwanini Russia kakumbuka shuka asubuhi?

5. Ngoja manyani yashangilie sasa miti ikiungua.

6. Hapo #5 muendelee kushangilia hivyo hivyo bei za diesel na petrol zitakapopanda.

Bure kabisa!
4. Russia anapambana na hali yake sio lazima apambanie uhai wenu waarabu.
Pambaneni kuzoe kinyesi chenu wenyewe waliokunya Hamas na Houthi
 
Tuliwaambia hawa Hamas wa jf kuwa ipo siku watalia..ona sasa wapewa za matakoni na hapa simuoni Malaria 2 wala Bwana Utam a.k.a bwana ubwabawa[emoji23]
Ndio nashika simu kijana tokea nlipoiacha jana

Americant na Uingereza wanatapa tapa yaani hawana jipya

Tuone baada ya hayo wanayosema mashambulio kama kuna meli itaenda israhell

Msimamo wa houthi niule ule hakuna meli itaenda israhell wala kutoka naomba zikianza kuenda na kutoka mnikumbushe nimekaa hapa

Americant na shost zake watajibiwa tu yaani wala musiwe na shaka
 
Mwanzo wale wavaa kobazi walikuwa wanasema hao Houth ni kiboko ya Mayahudi, USA na washirika wake pindi walipokuwa wanachezea sharubu za baba lao huko bahari nyekundu.

Sasa wameyatimba, yaani siku moja tu ya kushikishwa adabu, ngonjera na maneno ya kwenye khanga yameanza.

Kuna wapumbavu wanadhani USA itaanguka kisa inashiriki vita muda wote, ngoja niwakumbushe wapuuzi hao kuwa katika miaka 248 ambayo USA imekuwa taifa huru, ni miaka 16 pekee ambayo taifa halijawa vitani.
Hivyo vita kwa USA ni biashara yenye faida kiuchumi.

Hongereni sana USA na UK kwa kazi njema.
Hakuna gaidi litasalia .

cc Kitimoto Maghayo MK254
Hizi taarabu hazita saidia kitu

Tunawakumbusha tu hakuna meli ya israhell itaingia na wala kutoka pale kama ipo utuambi

Yaani red sea ishakula block hio endeleeni kujifanganya

Yaani mashambulizi haya ndio mnadhani yatawaogopesha houth [emoji3][emoji1787][emoji3]

Mashambulizi yatajibiwa nisuala la muda tu yaaani
 
4. Russia anapambana na halo yake sio lazima apambanie uhai wenu waarabu.
Pambaneni kuzoe kinyesi wenu wenyewe waliokunya Hamas na Houthi

1. Wewe kama ni Mwarabu kulikoni kuwadhani na wengine hivyo?

2. Mada inamwongelea Russia Mwarabu, vinyesi, HAMAS, Houthi wametoka wapi?

3. Siyo siri ndugu uko nje ya mada umejaa makasiriko Hadi unadhani una mamlaka juu ya wengine.

4. Wengine humu ni burudani tu.

Bure kabisa!
 
Bei za mafuta zitakapopanda hadi huku uendelee kukenua hivyo hivyo.
kwa hiyo mikwara yote ile walikuwa wanategemea hawatapata kichapo kisa bei ya mafuta duniani itapaa. Ni majuha kutumia mafuta kama silaha/kinga yao, wamekosa adabu kupiga mikwara, wanyukwe tu
 
Ndio nashika simu kijana tokea nlipoiacha jana

Americant na Uingereza wanatapa tapa yaani hawana jipya

Tuone baada ya hayo wanayosema mashambulio kama kuna meli itaenda israhell

Msimamo wa houthi niule ule hakuna meli itaenda israhell wala kutoka naomba zikianza kuenda na kutoka mnikumbushe nimekaa hapa

Americant na shost zake watajibiwa tu yaani wala musiwe na shaka
Hahaha sikujuaga kumbe ninyi ni washabiki tu kama simba na yanga ambao wakipigwa kisingizio wakipiga kisingizio.

Houthi alikuwa akiichokoza Us mkasema Us anawaogopa Houthi.

Leo Houthi wamejambishwa mnasema Us anatapatapa...Bwana Ubwaba akili hamnaa, hamna kitu, zero brain🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom