- Thread starter
- #41
Braza Juma mbona una hasira sana?
Hivi vimaandishi vyako havivuki hata mpaka kuweza kuwasaidia hao ndugu zenu, kunywa supu tulis kijana
1. Kwanini isiwe braza John? kudhani j ni juma tu, si ni ujuha ule ule uliopitiliza mno?
2. Pima maandishi yako na yangu kutambua bumunda la ukweli ni nani.
3. Ninakazia: "ni mpumbavu pekee wa kushangilia vita mashariki ya kati."
4. Hata US, na UK wenyewe hawashangilii ila yale mabumunda ya kwetu.