Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigeopolitics Russia anaweza kuzuia lakini si Uchina. Biashara nyingi za china kwenda Ulaya zinapita bahari ya Sham. Hawezi kuwatetea Houthi wanaomharibia biashara.
Hadi Misri inamuathiri. Anakusanya pesa nyingi kupitia mfereji wa Suezi. Sasa meli zikianza kuogopa kupita bahari ya Sham ni hasara kubwa kwake.1. Houthi kusiasa wanapambana na meli kwenda na kutoka Israel Hadi silaha zinyamaze Gaza.
2. Kiuhalisia wanataka kuutanua mzozo mashariki ya kati kimshinikiza yahudi kuufyata.
3. Sasa mzozo umetanuka red sea hakupitiki yote kama ayatakavyo Houthi.
4. Kuzuia mzozo ghuba ni Kwa maslahi ya kila mtu China, Russia, US, hadi mabibi na mababu walioko dongobeshi ikungu Lya bashashi kwao ngedere Ngabu.
5. Wasiojitambua wako busy wanakenua.
Kazificha wapi?! Meli za Marekani pamoja na Eisenhower aircraft carrier zipo hapo Red Sea zinatanua tu.Nasikia US kaficha meli zake