Braza Juma mbona una hasira sana?
Hivi vimaandishi vyako havivuki hata mpaka kuweza kuwasaidia hao ndugu zenu, kunywa supu tulis kijana
Pole kijanaHahaha sikujuaga kumbe ninyi ni washabiki tu kama simba na yanga ambao wakipigwa kisingizio wakipiga kisingizio.
Houthi alikuwa akiichokoza Us mkasema Us anawaogopa Houthi.
Leo Houthi wamejambishwa mnasema Us anatapatapa...Bwana Ubwaba akili hamnaa, hamna kitu, zero brain[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ruzzia kuchanganyikiwa
Ubabe usio na maana1. Russia na China zilikuwa na uwezo wa kuzuia azimio UNSC dhidi ya Yemen kupitishwa.
2. Siku Moja baadaye kimenuka huko; bila shaka Pana vita kamili sasa.
3. Ikumbukwe kwenye azimio hilo China, Russia, Mozambique na Aljeria wali susa na hivyo kupita kwa 11 za "ndiyo."
4. Kwamba Russia aliikalia veto yake na sasa ndiye huyu?
View attachment 2869254
View attachment 2869309
5. Ujinga mzigo.
Pole kijana
Americant na Uingereza wanasema wanataka wahakikishe njia salama ya red sea kwa meli
Nakuuliza tu baada ya Americant na Uingereza kufanya walilofanya jana kuna meli yeyote imepita au leo imepita kuelekea ama kutoka israhell
Nia ama malengo ya Americant na Uingereza meli zipite na nia na malengo ya houthi meli zisipite
Nakuhakikishia hakuna meli itapita hapo kwenda ama kutoka israhell na nanakuhakikishia hao wapuuzi hawataishinda houthi
Houthi itazuia meli hapo kupita mpaka kieleweke
Wachache watakuelewa.Wengu ni bendera kufuata upepo na chuki za kidini.1. Wapi unaposoma gaidi akitetewa ndugu?
2.Tatizo la ukichaa na utupu wa madebe liko hapa:
View attachment 2869282
3. Hapo #2, waswahili husema:
"Nyani haoni kundule."
4. #2 na #3 panakuhusu sana wewe binafsi.
5. #4 Panathibitisha, kichaa na debe tupu ni wewe!
Wachache watakuelewa.Wengu ni bendera kufuata upepo na chuki za kidini.
Kwa hiyo kutetea magaidi ya Hamas na Houthi unajiona una akiilii haha what a fvck gaidi mtetezi😂😂😂
kwa hiyo mikwara yote ile walikuwa wanategemea hawatapata kichapo kisa bei ya mafuta duniani itapaa. Ni majuha kutumia mafuta kama silaha/kinga yao, wamekosa adabu kupiga mikwara, wanyukwe tu
Sana! " Kwani atazikwa na magari na majumba yake,kama ni chooni wote tunaenda"Mawazo ya kimaskini.
Heri mchina anayeendelea kukaa kimyaUbabe usio na maana
Kwa hiyo kutetea magaidi ya Hamas na Houthi unajiona una akiilii haha what a fvck gaidi mtetezi😂😂😂
Ngoja nikuitie BICHWA KOMWE akupooze😂😂
Ameficha ujinga wakeHeri mchina anayeendelea kukaa kimya
Dogo wewe ni zero brain kabisa1. Wapi unaposoma kutetewa gaidi yeyote bila kujali ni nani awe israel, marekani, Boko Haram, Al Shabaab au ISS?
2. Akili zenu mbona hazina akili kwa kiwango cha sgr?
3. Kwamba huyo BICHWA KOMWE - ndiye mwunga mkono ugaidi shujaa wako?
Dogo ni wewe na ni -ve brain kabisa!Dogo wewe ni zero brain kabisa
Akikuelewa mrejesho wako tafadhali, ikikupendeza.Sana! " Kwani atazikwa na magari na majumba yake,kama ni chooni wote tunaenda"
Ruzzia hapo lazima apatwe ni kigugumizi kwa sababu kuathiriwa kwa biashara ya India na China kunaathiri moja kwa moja ununuzi wa gesi yake kwa sababu ndio tegemeo lake .Hoja anayo, ila kakumbuka shuka kumekucha.
Ruzzia hapo lazima apatwe ni kigugumizi kwa sababu kuathiriwa kwa biashara ya India na China kunaathiri moja kwa moja ununuzi wa gesi yake kwa sababu ndio tegemeo lake .