Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Pole mdada...usikate tamaa utampata atakae kupenda kwa dhani
 
Kuwa kahaba tu ukiona mwanaume unamuelewa unakomaa hapohapo hawa watu ukijifanya wife material utachachia nyumban usiwasikilize ushangai wale micharuko Ndio kila kukicha wanaolewa jichanganyee tu.
Hili lina ukweli kwa kiasi flan, nilishuhudia.
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Mpaka hapo wewe ni kahaba tayari..!

YATOKAYO MTU KINYWANI NDIYO YAUJAZAYO MOYO WAKE.

Ushauri uko hivi ukiona upati mtu wa ukweli ujue na wewe siyo wa ukweli..!
 
Huyo Houston kafa kwasababu ya penzi la jamaa..! Hakuna penzi la mtu kujipenda hizo huwa ni desperate/defense mechanism. Adam aliubwa mwenyewe kashindwa kujipenda mpk alipopata Eva kila jambo likaenda.
 
Kihuba Msikilize Mtaalamu Elli, maana yeye baada ya kuona uzi wako tu akaamua akafanye utafuti kwanza na hatumaye karudi na hiki. Nadhani hapaswi kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…