Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Sifa za mwanaume ninae mtataka awe mcheshi,mkweli,mwenye nia ya dhati anae jitambua asiwe mwalimu wala daktari wala mwana sheria napenda mwanaume mjasiriamali,Mwenye sauti ya mahaba pia uume wake uwe umenyooka usipinde kwakua uwa sioni rahaa ya uuume ulio pinda tafandari kama nawakwaza

LABDA UTENGENEZE WA KWAKO WA UDONGO
 
Yaani haiingii akilini kabisa THREAD 5+ za kutafuta mchumba/mpenzi/mume ZOTE AMEKOSA??? HAPANA AISEE
Kweli kabisa. Aende zake tu na uongo wake.

Ila huyu interview ya muosha rungu inamuhusu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Itakuwa huyu mwanamke sio mzuri kitabia na sura maana haiwezekani akose mchumba wakati sasahivi anatafuta mchumba kama mwezi wa pili humu
 
Aisee... huyu mtunz wa story ana vigezo vigumuu...
Labda nikusaidie tuu, huyo mwanaume sidhan kama anaweza kupatikana kiuhalisia.. huyo unaweza ukamtengeneza kupitia story... ila kiuhalisia hayupo...

endelea kuishi kwenye ulimwengu wako wa story.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana unatafuta wa miaka 40?
Uliponichosha zaidi ni pale unapoomba utumiwe picha wakati wewe hujaweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…