Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa wale wasiojulikana mkuu.Umetumwa na nani?
YAANI HAPA NASIKITIKA SANAUnaona sasa mambo yake.!!!
Vibaya mno njoo uninyoosheumepinda nini
Kweli kabisa. Aende zake tu na uongo wake.Yaani haiingii akilini kabisa THREAD 5+ za kutafuta mchumba/mpenzi/mume ZOTE AMEKOSA??? HAPANA AISEE
weweeeeeeeeeeeee huko sijii
Huku ndio kuna mambo yako yale unayotaka,,,weweeeeeeeeeeeee huko sijii
OHOOO UNATAKA UUMBUE WATU SASAKweli kabisa. Aende zake tu na uongo wake.
Ila huyu interview ya muosha rungu inamuhusu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baridi barafu...ME ni kama maji usipokunywa utayaoga tusitakiiiiiiiiii
Ndio maana unatafuta wa miaka 40?Mpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu,
Natafuta mume'
Mkristo na umri wake 29-40.
Awe maji ya kunde au mweupe.
NB: Mwenye sifa tuma picha yako na namba za simu jieleze kwa ufupi kuhusu wewe tofauti na hapo sito jibu sms yoyote.
Sifa zangu nina umri wa 26;
Mcheshi
Mnene kiasi
Mwenye msimamo thabiti
Siteteleki kwa mwanaume asiejielewa
Sina mtoto na sijawai zaa
Mweusi kiasi
NB; Napenda mziki, mtunzi wa story na ninapenda kupika sana nipo shap kwa kazi za nyumbani naweza kumlea mwanaume kama mtoto.