Ni uamuzi mzuri lakini siku ukija kupata mke utajilaumu sana kila ukimuona huyo mtoto! Sio wanawake wengi wana moyo wa kulea mtoto wa nje ya ndoa!Kama hali ndio hiyo atafute sehemu aharibu then maisha yasonge. hayo ndio maamuzi niliyoamua mimi baada ya kuona hili zoezi limekuwa gumu.
Huyu sidhani kama ni Kenilivyoona title tu nikajua lazima atakuwa kihuba
Unapata sana sema yamkini ww ni selective hawa meet your need or the class you wantNajisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Kwasababu unachagua sana!
Akae ajitathminiUnapata sana sema yamkini ww ni selective hawa meet your need or the class you want
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Huyo hayupo serious anatafuta coments na likes tu hapa uzi wake ujaeUnaweza kukuta ni kabinti ka miaka 19 tu. Haya maisha yanabadilika kwa kasi sana
Pumbav zakeHuyo hayupo serious anatafuta coments na likes tu hapa uzi wake ujae
Nyambafu zake!!!Huyo hayupo serious anatafuta coments na likes tu hapa uzi wake ujae
kuna mchezo anatuchezeaHuyu sidhani kama ni Ke
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Tumeshamzoea sasaJose wewe.....hahahahhahaaaa
Hahahahahhahaahaa haya bhana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Tumeshamzoea sasa