Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

njoo Pm nikupe 1m nikakutafune. Achana na hiz mbwembwe
 
Exactly, yaani ameandika uharo. With all the shit conditions but she can't write, lol..!
Kutofautisha R na L penyewe tabu halafu vigezo viingi. Hautaki ambaye hajui kuandika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
 
Duuh wanawake wa siku hizi, wana shida kibao, ila wanajifanya kama hawana shida vile,... Ombi lako mwenyewe masharti kibaaaao, hutaki kusalimiwa, na unataka uanze kutongozwa wakati ushasema unataka mume,.... Taabu tu iliyowapata viumbe hawa,... Mpaka kufikia kunadi uchi ujue umekwama,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…