Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Pongambona ubela ndeg'hosi!!Baakho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pongambona ubela ndeg'hosi!!Baakho
[emoji23][emoji23][emoji23] then anamtaka anayejua kuandikaKutofautisha R na L penyewe tabu halafu vigezo viingi. Hautaki ambaye hajui kuandika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Pongambona ubela ndeg'hosi!!
Ha ha ha ha.Baakho ndele n'dala va munu
njoo Pm nikupe 1m nikakutafune. Achana na hiz mbwembweMwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati
Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe
Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext
Mfano vp?
.......haaaaaha
Sijui tyajendeee matofari sijibu.....
Na kadharika
Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
una wowowo??? Kama linafikia la Miriam Biriani nipm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ule uzi hukuusoma hadi mwisho. Tatizo ulikimbilia pm.Samahan..ww kuna uzi fulan uliandika unatafta mpenzi wa kiume mbn hapa unajionesha tena km ww men???uwiii..dunia hii[emoji23][emoji23]
Kutofautisha R na L penyewe tabu halafu vigezo viingi. Hautaki ambaye hajui kuandika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi natafuta mme wakuchapans tu masaa yote ila awe anahela