Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mbona povu
 
Nakazia hapo kwenye paragraph ya mwisho
 
Nakazia hapo kwenye paragraph ya mwisho
Mmenikatisha tamaa ya kutangaza nia!
 
HTML,maquee,

Java script

Ndo utajimaliza pia
Wadanganye hao hao wewe hauwezi kua na elimu ya kidato cha nne...

Wewe ni degree holder tena kwa comment hii upo kwenye kada ya ICT.

Kama upo vizuri kwenye kudevelop app za Android nitafute
 
Sifa zote nimekidhi kasoro hapo kwenye weusi

Mi ni mweusi utafikiri nimeoga oil nmepakaa kiwi kama mafuta

Ila huwezi nifikiria bibie hili pia tutalishep
Hili pia tutalishape [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Hujakamilisha utafiti wako mpaka leo?
Kumbukumbu za mabandiko yako tunazo,wewe hutafuti mchumba labda kuna mengine unatafuta
 
Hapo kwenye makalio ya kawaida umeharibu. Ungekuwa na makalio makubwa ningekufikiria.
Hapo kwenye elimu mimi nlikuwa nahitaji wa darasa la saba
Mi umri sasa miaka 28, utakubali?
Mwenye shida hufuata mganga. PM ipo wazi. Unakaribishwa.
Kila la heri my dear
Njoo pm sasa.
VigeZo vyote nimetimiza kasoro cha urefu tu...mim ni mrefu mno
Samahani kama nitakuudhi, nina swali kwako.

Ni changamoto ipi iliyokufanya mpaka kufikia huo umri hukupata mwenza?
kihuba uko serious jaribu kusocialize mtaani,sokoni,nyumba za ibada jitoe out sehemu expensive utapata mwanaume classic
kihuba umenivutia sana! Mimi nina miaka 60, naomba unifikirie kwani wanasema gari bovu huvutwa na gari lililo zima. PM iko wazi.
Habari zenu wana jf wakuu
Mungu ni mwema naimani wapo walio niunga mkono,wengine kunidharau na kunibedha wengine kunitumia na kunitelekeza naimani yote mapito.

Imani yangu ilikua ntapata mume tu tena wa kundena na mimi nashukuru mungu katenda maajabu yani napendwa mpaka basi nashukuru Adamu mwanaume wangu wa pekeeekee mwenye mapenzi kama umetoka binguni

Naongea mbele ya wana jf nakupenda Adam ntakulinda daima na ntakuzalia kama zawadi yako

NISI ZUNGUMZEE SANA cha msingi msikateeee tamaa japo nimepitia magumu mengi na kufanikiwaa

Nafuraia penzi lako mume wangu ADAM

kumbe jf kuna wanaume wakweli mnao tafuta msife moyo

C&P kutoka kwa kihuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…