Awowo Apewe
Member
- Jun 5, 2019
- 72
- 87
Kwahyo sisi wenye 25yrs tupite pembeni kidogo kuepusha kubemendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona povuKwani nilikuwa na shida na wewe.
Wewe ndio unatafuta Mume. Nimekupa Ofa njoo PM alafu kwa ujinga wako unasema nimekukosa. Nilikuambia ninakutaka au kutafuta mwanamke.
Mwanamke mzuri hatafuti Mume. Mwanamke mzuri hutafutwa kwa Udi na Uvumba.
Kitendo cha mwanamke kutafuta mume ni dalili ya kukosa sifa za mwanamke mzuri.
Sasahiv sijui anafanyaga na nan......maana kama anapenda kupitiliza na maana kila siku anafanyaAwe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sanaTena aliyemkuta bikra
Nakazia hapo kwenye paragraph ya mwishoKwani nilikuwa na shida na wewe.
Wewe ndio unatafuta Mume. Nimekupa Ofa njoo PM alafu kwa ujinga wako unasema nimekukosa. Nilikuambia ninakutaka au kutafuta mwanamke.
Mwanamke mzuri hatafuti Mume. Mwanamke mzuri hutafutwa kwa Udi na Uvumba.
Kitendo cha mwanamke kutafuta mume ni dalili ya kukosa sifa za mwanamke mzuri.
Kwani nilikuwa na shida na wewe.

Mmenikatisha tamaa ya kutangaza nia!Nakazia hapo kwenye paragraph ya mwisho
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na sisi weusi kama barakah da Prince hatuna nafasi
Wadanganye hao hao wewe hauwezi kua na elimu ya kidato cha nne...HTML,maquee,
Java script
Ndo utajimaliza pia
Hili pia tutalishape [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Sifa zote nimekidhi kasoro hapo kwenye weusi
Mi ni mweusi utafikiri nimeoga oil nmepakaa kiwi kama mafuta
Ila huwezi nifikiria bibie hili pia tutalishep
Hahaha ndio maisha yetuJf kila mtu ana mke mzuri, maisha classic na elimu kubwa tu.
Teh
Real life
Hakuna hohehahe kwenye keyboardHahaha ndio maisha yetu
Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf
Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu
Mwanaume anae hisi anahitaji mke
Sifa zake
Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi
Tabia zingine tuta zishepu
Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe
Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu
Mengine tutazungumza
Kama hujapendezwa soma pita tu.
Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .
Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta
Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
Hapo kwenye makalio ya kawaida umeharibu. Ungekuwa na makalio makubwa ningekufikiria.
Hapo kwenye elimu mimi nlikuwa nahitaji wa darasa la saba
Mi umri sasa miaka 28, utakubali?
Njoo PM
Mwenye shida hufuata mganga. PM ipo wazi. Unakaribishwa.
Kila la heri my dear
Njoo pm sasa.
VigeZo vyote nimetimiza kasoro cha urefu tu...mim ni mrefu mno
Kwani nilikuwa na shida na wewe.
Wewe ndio unatafuta Mume. Nimekupa Ofa njoo PM alafu kwa ujinga wako unasema nimekukosa. Nilikuambia ninakutaka au kutafuta mwanamke.
Mwanamke mzuri hatafuti Mume. Mwanamke mzuri hutafutwa kwa Udi na Uvumba.
Kitendo cha mwanamke kutafuta mume ni dalili ya kukosa sifa za mwanamke mzuri.
Samahani kama nitakuudhi, nina swali kwako.
Ni changamoto ipi iliyokufanya mpaka kufikia huo umri hukupata mwenza?
kihuba uko serious jaribu kusocialize mtaani,sokoni,nyumba za ibada jitoe out sehemu expensive utapata mwanaume classic
Habari zenu wana jf wakuukihuba umenivutia sana! Mimi nina miaka 60, naomba unifikirie kwani wanasema gari bovu huvutwa na gari lililo zima. PM iko wazi.