Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kutokana na hiyo nafasi na vigezo vipo ambavyo naweza kukunyambulishia.
Umri :utapiga hesabu siku na mwezi mwaka aliozaliwa utajua.
Kazi : Fani ya kujiajili au kuajiliwa ambazo zipo aina mbali mbali na zinajulikana.
Urefu : utapima kwa kipimo cha kamba au scale na utajua.
Mkiristo : imani ya mtu ya kuabudu inajulikana wazi.
Mapenzi ya dhati : Ni hadithi ya kusadikika ambayo wanawake wengi hupenda kuhadithiwa.

Kama unataka mume wa kusadikika huna budi kuwa mke wa kusadikika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ,, umeandika short lkn umeeleweka sana Mara mia zaidi ya nyuzi zote nilowahi kuzisoma km hizi !!.


Kwa maandiko yako tu unaonekana wewe namwanamke usiye na blah blah ,mcheshi ,unayezungumza na watu tofauti ,nilichokipenda sana kwako Ni hii

" ambaye MUNGU akijalia atakua mwanandoa wangu " .

Lkn pia nmependa " Aina ya uchaguzi wako ,Umeweka sifa ambazo umetizama mustakhbal WA maisha nasio km wengine wanavyoangaliaga Sifa ktk maana ya Sex .

.Nakutangaza Rasimi Kua mwanamke unayestahili naww ni mwanamke sio mschana.

Mungu akusaidie sawa sawa na mapenzi yako ,, akuondolee waharibifu wote uko PM.


 
Amina
 
Mi mweusi kama jembe jipya vipi sihusiki na shoo...
 
Daaaa, wazee labda mimi ndio huwa sielewi. Hivi mwanaume anajijuaje kuwa ana mapenzi ya dhati?
swali fikirishi[emoji23] [emoji23]

we nenda ukiona haujamatch basi wewe huna mapenzi ya dhati kwake

be___blessed
 
kila siku watafutaji mume/mke wanaongezeka humu lakini mrejesho hamna tatizo nini

be___blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…