Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Nani mjinga atakayeweza ku-PM "chuma ulete".sasa hivi watu tunaishi kwa kamshahara kaliko katwa katwa sanaaa, Bodi ya mikopo 15% , ukigeuka huku nao postal bank wanakata rejesho lao.na kule sacoss kila siku wanikumbusha kwamba nimechelewesha marejesho.na zile posho zote sijui zimepotelea wapi jamani.sasa hii sh 173,174 iliyobaki ndiyo inabidi itoshe kila kitu including kodi pamoja na ada ya mwangu Mudi ya sh 10,000 kila mwezi pale chekechea.Ijapokuwa imebidi nihamie chumba cha giza yaani kisicho na umeme angalu kodi imepoapoa.usichukulie poa, mimi ni graduate afisa wa serikali ofisi nyeti.

Halafu mtu ananiambia ati ni PM
Wacha niendelee kukuita shemeji
sawa shemu
 
a3ada12f309be19af333ef6853368031.jpg
Mungu anaziona struggle zako kwakweli akusaidie sana
Uyu Dada namashaka nae unaweza kuta dume linataka piga pesaa tyu uko pm..MOD mshungulikieni uyu mtu

sent from my iPhone 6
 
Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.
muanze tu
 
Nani mjinga atakayeweza ku-PM "chuma ulete".sasa hivi watu tunaishi kwa kamshahara kaliko katwa katwa sanaaa, Bodi ya mikopo 15% , ukigeuka huku nao postal bank wanakata rejesho lao.na kule sacoss kila siku wanikumbusha kwamba nimechelewesha marejesho.na zile posho zote sijui zimepotelea wapi jamani.sasa hii sh 173,174 iliyobaki ndiyo inabidi itoshe kila kitu including kodi pamoja na ada ya mwangu Mudi ya sh 10,000 kila mwezi pale chekechea.Ijapokuwa imebidi nihamie chumba cha giza yaani kisicho na umeme angalu kodi imepoapoa.usichukulie poa, mimi ni graduate afisa wa serikali ofisi nyeti.

Halafu mtu ananiambia ati ni PM
Wacha niendelee kukuita shemeji
Uyu Dada anamizinga nenda uko uonee ila nawasiwasi ni jidume

sent from my iPhone 6
 
Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.
Mbn wewe umenikataa
 
Me sijatoa fursa, changamka maana pm Folen haijawa Kubwa.
Hahahaaaa .... mimi siwezi kupanga foleni ya usahili. Nikaona bora nifanye application ya unsolicited vacancy. Yaani naomba ajira ambayo haijatangazwa. Unajua huu msemo "early bird gets the worm" meaning:
Whoever arrives first has the best chance of success; some opportunities are only available to the first competitors.
 
Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha kuvutia asiwe mweusi sana
mwenye kupenda aje pm

Tuma picha na namba yako

sitaki maelezo mengi sana

kesho mechi jamani nawakumbusha tu YANGA NA SIMBA
ntajibu 10 wa mwanzo tu
Weka picha yko wew kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom