Whwt a deuce!!? Sikufikiria kwamba kuna mtz siku moja anaweza kutembelea Timor leste.Hizi nchi za upande ule Kina Tuvalu,Vanuatu,Fiji,Tonga zipo mbali sana na dunia zamani enzi za kale sehemu yao ya karibu kufanya contacts na wenzao duniani ilikuwa Africa Mashariki hawakuwahi kujua km kuna sehemu nyingine dunianj