Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Nyie kawashinda mumtupie mwenzenu mzigo π π π
Ndoa ni uvumilivu π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie kawashinda mumtupie mwenzenu mzigo π π π
Nimejaribu kumuuliza hali hii ikikutokea unafanyaje, anadai anasomewa dua , au mama yake anapigiwa cm ili naye amfanyie dua. Mama yake anafanya biashara ya kusafiri kwenda mikoani hivyo iyo hali inaweza kumtokea mama akiwa hayupo nyumban.akili ya ziada inahitajika. Mwambie ukweli asione kama umemkataa direct kisa hio sababu go around the bush.
Swali: kipind mnafunga ndoa upande waku ukuleta ndugu au familia wa shuhudie zoezi?
Ukiendelea kuishi nae ndo utajua dunia chungu utakosa raha maishan na hapo hamjapata watot. Ku deal ma hvyo vitu spiritual ni ishu ngumu na ukionekana ww ndo king'ang'a wa kutaka kuyatoa majini lazima yatakutafta tu y lipize kama imani yko ipo chini.. vita y spiritual n ngumu usishangae wakakimbilia engo ya riziki yako na wewe unasubiri usumbuliwe usiku
Tumia gear ya ndugu wako hawajapend uishi nae umrudishe kwao kw muda. Wa kwao ndo wa deal kuyatoa so wewe ambae hujui chimbuko la tatzo ilo
Mpeleke kwenye makanisa yanayofanya maombi. YatatokaMkuu msaada naupata wapi? Mimi ni mkristu mke wangu ni muislam
Wata kutuliza tu kwa asurance. Na kwenu ukiwaambia hawata kukbalia ilo jambo..N
Nimejaribu kumuuliza hali hii ikikutokea unafanyaje, anadai anasomewa dua , au mama yake anapigiwa cm ili naye amfanyie dua. Mama yake anafanya biashara ya kusafiri kwenda mikoani hivyo iyo hali inaweza kumtokea mama akiwa hayupo nyumban.
Nikamuuliza inakutokea mara ngapi anadai inaweza pita miezi bila kuona Hali iyo, lakin kuna wakati inaweza kumtokea mara kwa mara.
Nikamuuliza Madhara gani ambayo huyapata anadai anaweza kujiumiza, Kwa sababu huwa anajibuluza na kugalagala chini, kugonga vitu na kuleta fujo wakati mwingine pale MTU unapojaribu kumzuia kile anachokuw anakifanya.
Pia anadai Akitulia hakumbuki alichokuwa anafanya.
Nikamuuliza mama yake hili jambo akaniambia akirudi tutazungumza. Kwaio ndio nilipofika hapa.
Hayo sio majini ni stress tu za maishaWakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.
Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.
Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.
Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.
Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.
Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Watu mnajua kwenda extra milesππSasa yakipanda wakati baba chanja anakula mzigo si anawala wote ama?
Watu wakifanya mapenz Huwa yanachungulia auπUmewahi kusikia wapi mkuu mtu mwenye majini kamnyonga mpenzi wake wakati wa tendo wale nao wanaheshimu furaha ya mtuπππ
Itakuwa wazazi walishukuru kweli kijana kajitokeza kuwasaidia π π π π πNdoa ni uvumilivu π
πππ sio kwa ubayaWatu mnajua kwenda extra milesππ
Mm ukweli km ya aina hiyo yanatesa Kuna mdada nilimuona yeye akikasirika tu anaweza hata kuanguka mwingine akiona msiba anaangukaAnasema toka alipokuwa mdogo alikua ana iyo hali, pia akiwa na hasira/ghazabu ndio inatokea mara Kwa mara.
Sasa mi nimemuona iyo mara moja tu na tulikuwa tupo very peaceful tunakula na kupiga story mbili tatu
πDadaUkishapewa jibu la kuwa mwache atatulia mwenyewe ujue huyo ni kichaa au mapepo
π€£π€£π€£N
Nimejaribu kumuuliza hali hii ikikutokea unafanyaje, anadai anasomewa dua , au mama yake anapigiwa cm ili naye amfanyie dua. Mama yake anafanya biashara ya kusafiri kwenda mikoani hivyo iyo hali inaweza kumtokea mama akiwa hayupo nyumban.
Nikamuuliza inakutokea mara ngapi anadai inaweza pita miezi bila kuona Hali iyo, lakin kuna wakati inaweza kumtokea mara kwa mara.
Nikamuuliza Madhara gani ambayo huyapata anadai anaweza kujiumiza, Kwa sababu huwa anajibuluza na kugalagala chini, kugonga vitu na kuleta fujo wakati mwingine pale MTU unapojaribu kumzuia kile anachokuw anakifanya.
Pia anadai Akitulia hakumbuki alichokuwa anafanya.
Nikamuuliza mama yake hili jambo akaniambia akirudi tutazungumza. Kwaio ndio nilipofika hapa.