Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku nako nini tena majini au?
Tunataka mahari tufate odd 2 za over 2.5Kinachokuuma ni hiyo mahari
Sasa chagua moja...uoe na majini yake ama usamehe hela uliyotoa
Sisi mahari hatukurudishii
Hapana...90% ya malalamiko atayokwambia anaumwa sio ugonjwa ila Hayo mapepo na lengo ni kukuachanisha tu na wewe hamna kingine Yani Huwa wanataka akae yeye kama yeye so ukimuacha kibinadamu yy atajisikia vibaya ila kwa Hayo madude yatakua yamefurah na hii yote inatokea kutokana na Imani Yako mana coz wanajua utamsaidia na wao watakosa pa kuishi so Bora kuwaachanisha ila kama uko vizuri MSAIDIE BRO atakupenda sana huyo mwanamke Cha muhimu akusikilize Kila utachomwambia.Pesa sio kila kitu, msaada
Mkuu Hilo ndio namimi nalihofia, ku deal na vitu visivyoonekana ni jambo lisilomithilika. Hofu yangu ni kwamba ikitokea akajua ninamwacha kwa sababu ya hayo mavitu je hawezi yatumia dhidi yangu kunidhuru? Ukizingatia ni MTU anayenipenda sana kwaio atafanya kisasi namm kuona nimemwacha
Hayaitwi majini insitwa MALERIA YA KIARABU( ARABIC MALARIA)Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.
Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.
Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.
Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.
Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.
Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Kusema ukweli nina muda sijishugulishi na mambo ya kusali na ibada na hii imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mijadala humu jukwaani.Inawezekana lipo kusudi la kukutanishwa nae.
Kama umempenda unaweza kumsaidia kwani hakuna kinachoshindikana kwa MUNGU ila kabla ya kuanza kumsaidia hakikisha unakuwa na vitu vifuatavyo
1. Uwe vizuri kiimani yaani uwe unajua kuomba vizur, Kusali na kutoa sadaka.
2. Uwe jasiri na mwenye msimamo USIOGOPE kwani Kuna muda atakua anabadilika zaid ya hapo unaweza kufikiri unaongea naye au unagombana naye kumbe ni PEPO
3. Usitende dhambi kabisa hasahasa KUZINI kwani mwenyeew utakua unajisindika kaburini kwa kuruhusu mashambulizi.
4. Funga ndoa ya kiimani kama kanisani sio Bomani kwani hyo ya Bomani Haina ulinzi wowote wa kimungu MNAZINI hapo tambua.
5. Uwe mtu wa kufunga at least kwa mwezi mara 3 ili ukae vizuri
MWISHO
Mara nyingi wazazi Huwa wajua haya mambo na Huwa wanawawekea watoto wao ulinzi wa majini pasipo kujua madhara ya baadae kama mikosi,kutoshika ujauzito,mzunguko wa hedhi usio na mpangilio ukiambatana na maumivu makali,kutofanikiwa kiuchumi na mahusiano na kuota ndoto mbaya alafu wenyewe wanaita MAJINI WAZURI.
Hivo kama utaweza kufata ushauri wa hapo juu utamkua mshindi na mtu mwenye mafanikio kama huwezi ACHA kwani vita ya kutoa Hayo madude na huku MNAZINI ni Kali sana utakufa siku sio zako.
KILA LA KHER I!!
Kama mwanamke kwa maamuzi yake atakomaa asibadili diniKusema ukweli nina muda sijishugulishi na mambo ya kusali na ibada na hii imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mijadala humu jukwaani.
Kufunga ndoa ya bomani ilikuwa ndio njia muafaka kutokana na tofaut ya kiimani ya familia zetu, huku wao wakimpa jukumu binti ahakikishe amenibadili dini na tuje kufunga ndoa ya Imani yao lakini namimi moyoni mwangu nimejiambia nitambadili dini na kufunga nae ndoa kweny Imani yangu. Sasa ndio nimekuja kujua hili jambo week iliyopita
Kama mwanamke kwa maamuzi yake atakomaa kutobadili dini boss piga chini hutoweza huo mziki na shkuru Bado hujampa ujauzito.Kusema ukweli nina muda sijishugulishi na mambo ya kusali na ibada na hii imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mijadala humu jukwaani.
Kufunga ndoa ya bomani ilikuwa ndio njia muafaka kutokana na tofaut ya kiimani ya familia zetu, huku wao wakimpa jukumu binti ahakikishe amenibadili dini na tuje kufunga ndoa ya Imani yao lakini namimi moyoni mwangu nimejiambia nitambadili dini na kufunga nae ndoa kweny Imani yangu. Sasa ndio nimekuja kujua hili jambo week iliyopita
akili ya ziada inahitajika. Mwambie ukweli asione kama umemkataa direct kisa hio sababu go around the bush.Pesa sio kila kitu, msaada
Mkuu Hilo ndio namimi nalihofia, ku deal na vitu visivyoonekana ni jambo lisilomithilika. Hofu yangu ni kwamba ikitokea akajua ninamwacha kwa sababu ya hayo mavitu je hawezi yatumia dhidi yangu kunidhuru? Ukizingatia ni MTU anayenipenda sana kwaio atafanya kisasi namm kuona nimemwacha
Aisee hata Mimi nimeshangaa Sana, ndani kwangu imekuwa ni kama nyumba yenye msiba, siku ya sita hii analia tu nisimuache kisa ana ilo tatizo. Nimekaa nalo moyoni nikaona linanielemea nikaona nishee nanyi hapa labda ntapata faraja kidogoMkuu kuwa makini hapo hv kweli miaka mitatu hata kama hamuishi wote naamini ungejua tu kama kweli anamajini ila kuna kitu hapo kinakuja kua makini utakuja kutoa shuhuda hapa.
Ndoa hatujafunga, nimelipa tu mahali mbele ya Baba, babu, Kaka na mjomba zakeakili ya ziada inahitajika. Mwambie ukweli asione kama umemkataa direct kisa hio sababu go around the bush.
Swali: kipind mnafunga ndoa upande waku ukuleta ndugu au familia wa shuhudie zoezi?
Ukiendelea kuishi nae ndo utajua dunia chungu utakosa raha maishan na hapo hamjapata watot. Ku deal ma hvyo vitu spiritual ni ishu ngumu na ukionekana ww ndo king'ang'a wa kutaka kuyatoa majini lazima yatakutafta tu y lipize kama imani yko ipo chini.. vita y spiritual n ngumu usishangae wakakimbilia engo ya riziki yako na wewe unasubiri usumbuliwe usiku
Tumia gear ya ndugu wako hawajapend uishi nae umrudishe kwao kw muda. Wa kwao ndo wa deal kuyatoa so wewe ambae hujui chimbuko la tatzo ilo
Nyie kawashinda mumtupie mwenzenu mzigo 😅😅😅Sisi hatuna shida amchukue mke wake 😂
Hela hairudi kwakweli