Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

N
Nimejaribu kumuuliza hali hii ikikutokea unafanyaje, anadai anasomewa dua , au mama yake anapigiwa cm ili naye amfanyie dua. Mama yake anafanya biashara ya kusafiri kwenda mikoani hivyo iyo hali inaweza kumtokea mama akiwa hayupo nyumban.

Nikamuuliza inakutokea mara ngapi anadai inaweza pita miezi bila kuona Hali iyo, lakin kuna wakati inaweza kumtokea mara kwa mara.

Nikamuuliza Madhara gani ambayo huyapata anadai anaweza kujiumiza, Kwa sababu huwa anajibuluza na kugalagala chini, kugonga vitu na kuleta fujo wakati mwingine pale MTU unapojaribu kumzuia kile anachokuw anakifanya.
Pia anadai Akitulia hakumbuki alichokuwa anafanya.

Nikamuuliza mama yake hili jambo akaniambia akirudi tutazungumza. Kwaio ndio nilipofika hapa.
 
Wata kutuliza tu kwa asurance. Na kwenu ukiwaambia hawata kukbalia ilo jambo..

Ukikabaliana na io hali basi jiandae kisaikolojia na yajayo hko mbeleni
We onyesha hujakubali kubaki nae mpk tatzo litakapo solviwa ndo mtaendelea n mengine. Fikiria akibeba ujauzito varangati la hpo. Mpange maza ake kwamba iyo hali ujaikubali na waifanyie kazi mambo ya huruma n uvumilivu achana nayo kw sasa mpaka uone effort y wao kupambana na iyo hali
 
Hayo sio majini ni stress tu za maisha
 
Mshike Yesu jwa kumaanisha,mpeleke kwa waombeaji katika kanisa la kiroho yatakimbia yote hayo...
 
Kama nyie ni waislam naona ni kawaida tu, wengi wanayo hayo maruhani. Kama ni wakristo hapo ndio changamoto.
 
Umewahi kusikia wapi mkuu mtu mwenye majini kamnyonga mpenzi wake wakati wa tendo wale nao wanaheshimu furaha ya mtu😁😁😁
Watu wakifanya mapenz Huwa yanachungulia auπŸ˜ƒ
Nimemkumbuka jirani yangu yeye akitaka kuchepuka anapandisha huko huko hata km ni guest na anarudi nyumbn ivoivo km alikuwa kaanza kuvua ni anatoka hivohivo anakuja Kwa mumewe 🀣🀣🀣🀣
 
Ila si inapenyaaa??? Majini yataachiaa ukiwekaa vizuriii
 
Ukishapewa jibu la kuwa mwache atatulia mwenyewe ujue huyo ni kichaa au mapepo
 
Anasema toka alipokuwa mdogo alikua ana iyo hali, pia akiwa na hasira/ghazabu ndio inatokea mara Kwa mara.
Sasa mi nimemuona iyo mara moja tu na tulikuwa tupo very peaceful tunakula na kupiga story mbili tatu
Mm ukweli km ya aina hiyo yanatesa Kuna mdada nilimuona yeye akikasirika tu anaweza hata kuanguka mwingine akiona msiba anaanguka
 
🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…