GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.

Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
1000444083.jpg


1000444127.jpg
 
Wao wanavyoona CHADEMA inapigania reforms wanadhani wanacheza? Haiwezekani mkurugenzi wa uchaguzi ateuliwe na mwenyekiti wa chama cha siasa.
Haiingii akilini hata kidogo, kwenye ushindani sawia haipo sawa hata kidogo.
Eti mgombea wa nafasi ya uraisi anateua mkurugenzi/mwenyekiti wa the so called "tume huru ya uchaguzi" halafu anaenda kushindanishwa na wengine, sio haki wala sio sawa!
 
Back
Top Bottom