MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
hafadhali umeliona na wewe.Bora kuwa na Chama kimoja na Nchi iongozwe kifalme tu
Maana kama haupo kwenye circle yao, huwezi kupata nafasi ya kuongoza
hafadhali umeliona na wewe.Bora kuwa na Chama kimoja na Nchi iongozwe kifalme tu
Maana kama haupo kwenye circle yao, huwezi kupata nafasi ya kuongoza
Dalali Zitto Kabwe yuko bize kumnadi Samia Suluhu, huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana.Mpina kaingizwa mjini na Dalali
Itasaidia kupunguza gharama za Uchaguzi pamoja na kuepusha kesi feki pamoja na vifo vya wakosoajihafadhali umeliona na wewe.
Bahati mbaya, hadi ndani ya Jeshi Kuna WanamtandaoTungekuwa na Jeshi lenye watu wazalendo ilitakiwa Jeshi lichukue nchi na kuvifuta vyama vyote na baada ya miaka mitano ndiyo viandikishwe vyama vingine chini ya usimamizi wa Jeshi. Tumechoka huu upumbavu wa kikundi kidogo cha wanamtandao kuibagaza Tanganyika yetu.
Inasikitisha sana kuwa hata CDF ame compromise.Bahati mbaya, hadi ndani ya Jeshi Kuna Wanamtandao
Hii Nchi ngumu sana kuliko tunavyoiona
hahahahaItasaidia kupunguza gharama za Uchaguzi pamoja na kuepusha kesi feki pamoja na vifo vya wakosoaji
Sisi Jukumu letu itakuwa kusema "Zidumu fikra za Mwenyekiti"
Ndiyo tunapoelekea hukohahahaha
Hao zamani sana ni watu wa huo mfumoInasikitisha sana kuwa hata CDF ame compromise.
Dalali Zitto Kabwe yuko bize kumnadi Samia Suluhu, huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana.
Naomba kujifunza hapa. Hivi ni nchi gani ambayo Rais wa nchi au serikali haihusiki katika kumpata Mwenyekiti wa Tume ya UchaguziWao wanavyoona CHADEMA inapigania reforms wanadhani wanacheza? Haiwezekani mkurugenzi wa uchaguzi ateuliwe na mwenyekiti wa chama cha siasa.
Sweden pale Mwenyekiti na wajumbe wake wanateuliwa kwa taratibu za kisheria, mara nyingi na Baraza la Sheria au Wizara huru, si Rais (Valmyndigheten).Naomba kujifunza hapa. Hivi ni nchi gani ambayo Rais wa nchi au serikali haihusiki katika kumpata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Naomba kujifunza hapa. Hivi ni nchi gani ambayo Rais wa nchi au serikali haihusiki katika kumpata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Huko koote kuna mkono wa Rais/serikali.Sweden pale Mwenyekiti na wajumbe wake wanateuliwa kwa taratibu za kisheria, mara nyingi na Baraza la Sheria au Wizara huru, si Rais (Valmyndigheten).
Kuna Botswana, wao Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi huru (IEC) huchaguliwa kwa ushauri na baraza la watu huru (judicial commission) na anathibitishwa kwa uwazi mbele ya watu.
Nchi nyingine ni Norway wao Tume ya Uchaguzi inasimamiwa na Mahakama Kuu
Bunge lenyewe sasa 🥹. Tuna kazi kubwa na ngumu sana ya kufanyaApatikane kupitia bunge. Majina yapendekezwe na jaji mkuu then bungeni waidhinishe. Ili kuwepo na usawa kwa vyama vyote
Sawa. Uchaguzi ni suala sensitive sn kwa nchi yoyote. That's why serikali lazima itie mkono wake japo kwa kificho kupitia usalama. Nchi za Afrika zilizofanikiwa kuvitoa vyama tawala wala hazikusubiri eti Rais asiteue Tume. Tupambane tuKwa kawaida katika nchi nyingi barani Afrika na kwingineko, Rais au serikali huwa na nafasi ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja katika uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi. Lakini kuna mifumo ya kipekee ambapo Rais hushiriki kidogo au hahusiki kabisa katika uteuzi huo.
Mfano wa mifumo hiyo:
- India
- Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi huteuliwa na Rais, lakini hivi sasa kuna marekebisho (2023) ambapo uteuzi hufanywa na kamati maalum yenye Waziri Mkuu, Jaji Mkuu wa India, na Kiongozi wa Upinzani katika Lok Sabha. Hii inapunguza nguvu za Rais na serikali moja kwa moja.
- Afrika Kusini
- Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi huteuliwa na Rais, lakini ni baada ya mchakato wa umahiri (merit-based) unaosimamiwa na jopo huru la kikatiba na kuidhinishwa na Bunge. Hapa Rais hana usemi binafsi bali hufanya uteuzi wa kimchakato.
- Kenya
- Katiba ya 2010 ilianzisha mchakato wa Kamati ya Uteuzi yenye wawakilishi kutoka asasi za kitaifa (Law Society, dini, Tume ya Huduma ya Mahakama, n.k.). Rais hupokea majina yaliyopendekezwa na kuwasilisha bungeni kwa kuidhinishwa. Hivyo ushawishi binafsi wa Rais ni mdogo.
- Canadana baadhi ya nchi za Jumuiya ya Madola
- Baadhi ya majimbo na hata shirikisho, uteuzi wa mkuu wa tume ya uchaguzi hufanywa na Bunge au kwa ushauri wa kamati maalum, si kwa heshima ya Rais au Waziri Mkuu pekee.
Kwa hiyo, nchi zipo, lakini si nyingi sana. Mara nyingi Rais au serikali hukabidhiwa jukumu la kisheria la kuthibitisha majina yaliyopendekezwa na vyombo vingine, bila kuwa na uamuzi wa moja kwa moja.
Sawa. Uchaguzi ni suala sensitive sn kwa nchi yoyote. That's why serikali lazima itie mkono wake japo kwa kificho kupitia usalama. Nchi za Afrika zilizofanikiwa kuvitoa vyama tawala wala hazikusubiri eti Rais asiteue Tume. Tupambane tu
Mh, Nisaidie wewe, hilo kwangu gumuUmeandika, Serikali lazima itie mkono wake, kwani usalama ni ya serikali au ya nchi ??