Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu
View attachment 3472529
Mpina anamkubali sana LissuBaada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu
View attachment 3472529
Haiingii akilini hata kidogo, kwenye ushindani sawia haipo sawa hata kidogo.Wao wanavyoona CHADEMA inapigania reforms wanadhani wanacheza? Haiwezekani mkurugenzi wa uchaguzi ateuliwe na mwenyekiti wa chama cha siasa.
Na huu ni ujinga usiovumilika.Wao wanavyoona CHADEMA inapigania reforms wanadhani wanacheza? Haiwezekani mkurugenzi wa uchaguzi ateuliwe na mwenyekiti wa chama cha siasa.
Mpina kaingizwa mjini na DalaliAlichelewa sana
Ameanza kuelewa ukweli wa wanayoendelea nyuma ya paziaBaada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.
Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
View attachment 3472529
Halafu ubaya kacheza dili na mwanamke hana kifua kayamwaga hadharani😁Zitto na dotto magari hawana tofauti muda wowote anakugeuka.
Zitto ni MTU hatari sana huyu jamaa ni tapeli Sana kama ameweza kumzunguka mpina ili apate ubunge huyu ni hatari
Watanzania wote Tu wamoja kwenye uchaguzi huu unataka kupokwa na wahuni. Hivyo lazima twende na mkakati yote ya NrNE na huu WA kihuni, watu wamechoka hata wakiwekewa pipa na wahuni , watapigia Kura PipaBaada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.
Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
View attachment 3472529
ivi reforms zikifanyika mkurungezi wa inec atapatikana kwa mfumo upi ??Wao wanavyoona CHADEMA inapigania reforms wanadhani wanacheza? Haiwezekani mkurugenzi wa uchaguzi ateuliwe na mwenyekiti wa chama cha siasa.
Zitto ni hatari sanaHalafu ubaya kacheza dili na mwanamke hana kifua kayamwaga hadharani😁
Mwaka huu hakuna uchaguziBaada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.
Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
View attachment 3472529