Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

Ukifikisha miaka 32 bado haujaolewa ndio utauona umuhimu wake huyo mwamba,,,
 
Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa.

Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma.

Ni mwaka wa 3 sasa tangu anigande lkn sikuwahi hata kutoka naye out ya lunch wala dinner, achilia mbali utelezi ndiyo aliogopa hata kugusia. Kwasabb nilmwambia kama ana nia ya dhati ya kunioa asubiri ndoa.

Hivi sasa kanikomalia anataka akatoe posa lkn mm naona hatuendani maana yeye sasa ana 42 na mm 24. Nimebuni mbinu ya kumpiga chini pasipo maumivu.

Nimemwambia nikamtambulishe kwanza kwa wazazi kabla ya posa. Lkn nimekula dili na mama kuwa amkatae siku akija home. Tukifika tu home mama anune na awe mkali haswaa!

Kisha mama ataniandikia sms ya mchongo ya kumkataa. Halafu nitamuonesha ama kumtumia hiyo sms.

Mliosoma Cuba mpo?
Sawaa

Lkn juwa kuwa ukila vya watu nawewe Italiwa tuuu.

Pili mwisho wa uovu ni uovuu

Hakuna aliyepanda maharagwe akavuna nyanya hili tafutia NAFASI kwenye kichwa chako lipate nafasi yake pele.

Hawa wanaume wanaowapiga risasi kichwani na kuwaunguza na mkaa

Unadhani kwanini.

Subiri kituo kinachofuata,,,,,,,......
...🦞🦞🦞🦞🦞🦞🦞🦞🦀🦀🦀🦀🦀🦐🦐🦐🦐🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌🐌
 
Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa.

Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma.

Ni mwaka wa 3 sasa tangu anigande lkn sikuwahi hata kutoka naye out ya lunch wala dinner, achilia mbali utelezi ndiyo aliogopa hata kugusia. Kwasabb nilmwambia kama ana nia ya dhati ya kunioa asubiri ndoa.

Hivi sasa kanikomalia anataka akatoe posa lkn mm naona hatuendani maana yeye sasa ana 42 na mm 24. Nimebuni mbinu ya kumpiga chini pasipo maumivu.

Nimemwambia nikamtambulishe kwanza kwa wazazi kabla ya posa. Lkn nimekula dili na mama kuwa amkatae siku akija home. Tukifika tu home mama anune na awe mkali haswaa!

Kisha mama ataniandikia sms ya mchongo ya kumkataa. Halafu nitamuonesha ama kumtumia hiyo sms.

Mliosoma Cuba mpo?
Hiyo 24yrs inakudanganya hee!!
Halafu yule mwanaume mwenyewe ni mimi kumbe ndio mpango wako uwo hee sasa jiandae
 
Karma is the bitch

Unastahili kuzibuliwa marinda kama mshahara wa dhambi yako
 
Back
Top Bottom