Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Umeelezea kama vile wewe ndio mume, unaongelea maisha yao ya ndani kabisa. Hebu sema vizuri basi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Kwann asishirikiane kumnyanyua mumuwe kwa kufanya jambo la pamoja..instead ya kuja kumwanika kwa public...watoke kwenye gorofa wapange nyumba ya wastn wasev pesa nyngne waekeze pamoja kwenye mirad huko kuliko kupiga kelele kama mbwa koko
 
HV una uhakika hayupo kwenye payroll? Haya mambo msipende kusikiliza upande mmoja mkaanza kufanya conclusion.
Inawezekana analipwa lkn kutokana na mwanamke kutaka makubwa mume ana shindwa kukidhi mahitaji.
 
bora nukta kuliko kulipa bill mwaka mzima mkuu? unaweza kukuta umetiwa hata na muuza genge siku watoto wamekosa chakula
Kutafunwa ni hulka tu ya MTU kwani wake za watu wote tunaowagegeda unadhani wanaNjaa? sema huyo JOY akili yake anaijua mwenyewe alidhani kuishi na MwanaSiasa wa Upinzani kwa Africa ni Kazi ndogo?
 
Kunaitajika amendment kidogo kwenye mume/mke kwenye shida na raha napendekeza iwe kwenye raha tu shida kila mtu ana wazazi au mlezi ake aende na akaendelee na maisha yake mpk raha kwa pamoja irudi ndipo ndoa irudi
...na hao wazazi shida zikiwakuta waende wapi
 
Unahakika kwamba mume wa wake hajishughulishi?
 
Kwani mkiishi maisha ya kawaida kuna tatizo gani?Huo ufahari mnakuwa mnautaka kumfurahisha nani?Mimi sijaoa,ila nikija kuoa mwanamke wa kuanika mambo yetu hadharani,nadhani talaka itamuhusu.MTOA MADA,UMENIFANYA NIMKUMBUKE MFALME SOLOMONI,MWANA WA MFALME DAUDI,AMBAE LICHA YA KUPEWA HEKIMA ISIYO NA KIFANI NA MWENYEZI MUNGU,NA KUPEWA UTAJIRI AMBAO,HATA WAFALME WOTE WA ISRAELI PAMOJA NA WATAWALA WOTE WA DUNIA HII HAWAJAWAHI KUFIKIA UTAJIRI WAKE.ALIPOIACHA NJIA YA MUNGU,ALISONONEKA SANA.NA AKAGUNDUA KUWA KUMBE KWA KUFANYA MAMBO KWA UTASHI WAKE.VYOTE ALIVYOKUWA NAVYO VILIKUWA NI UBATILI MTUPU.WAPENDWA,NI VYEMA KUMSHIRIKISHA MWENYEZI MUNGU KATIKA KILA JAMBO TULIFANYALO.NDIO MAANA WAZUNGU HUSEMA,THINK TWICE EVEN THRICE.VINGINEVYO NI KUJIDHALILISHA KIJINGA KABISA.ALUTA CONTINUA!
 
50/50
 
Wanawake kama hawa,ni rahisi sana kucheat,ili kutimiza haja na matakwa yao.Its so so so stupidity and shamefull!
 
hivi unapangishaje ghorofa la millioni kadhaa? bora nipange chumba kimoja nijenge hata mbagala huko.wadada wa mjini wana mashow off sana .kumbe wanateketea kwa ndani
Wanapenda Maisha yakufikirika....
 
Ukiona mwanamke anaongea ujinga kwamba sijui analipa Kodi ujue anashindwa kutamka tu kwamba kuna
Jamaa amgegeda nandie anaelipa hiyo Kodi ndio maana tunawaambia Vijana watafute HELA...sababu Mwanamke hata akiwa na HELA kama BOT wewe ukiwa na Elf50 basi yako itakuwa na Thamani sana kuliko maBILION yake kupitia hii naamini vijana watajifunza
 
ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…