Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Nilisha wahi jiuliza huyu Mwanamke Ana Amani kweli na ndoa yake, kivipi kwa namna anavyo wapotosha wanawake wenzie, kama makamu wa Rais alisema wazi wazi yy kwa mume wake huwa anapiga goti maana yake nini, ni kwamba Mwanamke kwa Mwanaume ni Mdogo tu.
 
Uliza yaliyomkuta fergarson(muimbaji twang*)mke wake anafanyakazi precion air kama muhudumu wa ndege.mama ndio kila kitu kuanza kupanga nyumba,kulipa bill zote,faga akanunuliwa gari aaah maisha safi.Bwana wameachana faga aibu tunapigana vikumbo kwenye daladala,hana pa kuishi.na hivyo twang* kiingilio soda.


Jamani wanaume tusitegemee sana wakina mama tutaumbuka.
 
Wanawake wetu wakiafrika malimbukeni sana tatizo wameshakariri wao nikufanyiwa kila kitu,ikitokea Kamnunulia mwanaume hata Vocha tu ya simu basi atatangaza Afrika Mashariki yote na kati.Mnakera sana!
 
Mwanamke mjinga anabomoa nyumba yake kwa mikono yote
 
Huenda ana toi lake ndani la kumkuna pia.

Mkimwona mumwambie na Akomeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hakuna kosa kubwa sanaa kama Mwanaume umwachie Mwanamke afanye majukumu yako ujue mkija gombana lazima aliseme hilo. Wanaume tujitahiji tutimize majukumu yetu japo wanawake huwa wanapenda maisha ya juu sanaa zaidi ya uwezo wenu.

Wengine wanabwabwaja tu hapa ila hii ndo post iliyo na akili.
 
Pamoja na hayo tunawapenda hivyohivyo
 
Kuna wanawake wanaweza kukusababishia ukawa mwizi siku ukiwanacho mnafrai pamoja ila siku ukiwa huna uvumilivu hakuna maisha hupanda na kushuka maisha haya wezi kuwa sawa mi ndomaana staki mwanamke anunue hata kiberiti vyote ntanunua mwenyewe kama sina iyo siku tulale njaa tu atakama yeye anazopesa ntaki atumie pesa zake maana siku ya mwisho utaskia janaume suruali linashindwa kutimiza majukumu ukuakisahau wakati ninazo nilikuwa namfanyia nini
 
Hivi huyu si ndoa ya kwanza ilimshinda??....kweli nimeamini huu msemo wa bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua.....
 
Hapo ndipo umuhimu wa shule unapojidhihirisha
 
Huyo dada hajielewi kabisa, unawezaje kumuanika mumeo tena wa ndoa hadharani kwamba halipi bili?

Ile kampeni yake ya haki sawa ndo inamtia jeuri na kukosa heshima kwa mumewe, acha apigwe tu hakuna namna. Kama yeye ndo mlipa bili si ameridhia, angeona ni shida asingevumilia mpaka leo
 
Hii ni tabia mbaya na udhalilishaji na pia ni kumvua nguo mumewako.Mpaka ww unalipa bills zote maana yake unajua shida yake na matatizo alio nayo.

~Mwanamke asie msitiri mumewake na kumtangaza kwenye mitandao huyo ni mpumbavu kabisa na anatafuta kujulikana na haita msaidia.

~Wanafundwaje hawa jamani mwee,kuonekana kwenye luninga kuna wachanganya saana.ss kamdalilisha nani?yy au mumewe?akati anaolewa hakujua km hana kazi?

~Kapigwa kidogo huyoo angebatuliwa saana mpaka akili imkae sawa na huo uso wa mekap ungeshuka km samaki akiangalia maiti ya baba mkwe wake.

Nb;Mithali 27:22 inasema

"Hata ukimtwanga mpumbavukwa mchi kinuni pamoja na ngano;Upumbavu wake hauta mtoka".
 
Joyce inaonekana hana mtu wake wa karibu ambaye anaweza kwenda kumwelezea matatizo yake na kutoa sumu aliyonayo kwenye moyo wake.

Na kama yupo huyo mtu wa karibu yawezekana alishapelekewa malalamiko ya bwana K lakini huyo mpokeaje akayadharau na kukaa kimya, hivyo kumemfanya dada Joyce kuja kuyasemea matatizo yake ya ndani kwa mashabiki wake ambao naamini watamwonea huruma na watamsaidia.
Tusimwelewe vibaya huyu dada yetu kinachotakiwa hapa ni kuangalia namna ya kumsaidia kuondoka na hiyo hali aliyonayo. Maisha yamebadilika yawezekana kamanda mwenzetu mambo yake yamekuwa hayako sawa kama tunavyojua hii awamu ya 5 kila mtu kaguswa.Ndoa ni changamoto sana nawapa hongera wanandoa wanaoishi sehemu tofauti tofauti ila wako kwenye ndoa.

Joyce anatakiwa kuacha unoko, kipigo alichopewa ni sababu ya unoko wake kwenye kutaka kumfatilia kamanda wakati anajua kamanda anajaribu kupambana na hali yake.
 
Uyo si alikua anajiita Joyce Kiria Nkongo....kipindi anatangaza eatv?? Alikua ameolewa akaachika i guess...apo alikua keshaolewa tena i guess....
Uyo kamanda alibugi sana kuchukua mkangafu kama ule...mbona kuna watoto wakali wabichi kabisa anahangaika na uyo ajuza??
Namshauri amtimue tu
 
Mwanamke anajijaza mwanzon ili mbele yasafari mwanaume ujiongeze mwenyewe ila jamaa amezinda mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…