Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Kama mwanamke uanaamua kuingia kwenye uanaharakati jua pia ndoa yako lazima iwe ngumu kwako.maana kuna vielement vya kuota mapembe hivi.wanasahau values za asili za mwanamke wa kitanzania .

Sijui kama mtazamo wangu ni sahihi.wengi wa wanaharakati wa kutetea haki za wanawake ni single mamas.

Offcourse akili za kuambiwa chnaganya na za kwako.zile kauli zao za "mwanamke usikubali mwanaume akubabaishe" ndiyo zilizomfikisha hapo.

Wakati mwingine mwanamke akiwa na kipatapo kuliko mwanaume basi anajiona ameshasolve kila kitu.na heshima kwa mume tupa kule
 
Lakini kwa nionavyo,ameumizwa kihisia.
Ingawa njia alotumia ni mbaya.

Sasa hapa atajizidishia aibu.Mtanzania hanaga huruma na mtu asiyemhusu.
Ni kweli na ukingazita wakati Huu Gris Hakuna kila mtu anapambana na Hali yake
 
Sasa hapo sijaelewa vizur, kuna mambo ya kifamilia na mambo ya kisiasa kipi ni kipi ili na mimi nichangie?
 
Makamanda wengi ni marioo sijui kwanini
Ni marioo kwasababu majimama ya Limumba hayana wa kuyagegeda baada ya wale buku saba wengi kuwa misosi na wengine ndo kama kina Lemutuz....Acheni makamanda waendelee kuyaondolea stress!
 
Well said madame Beef Lasagna...!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli.
Si kwa kujiliza vile Joyce[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....

Ndo tumejua kuwa Kilewooo ni mariooo la makinikia!

Anaunga tela na akina mb...a..sha, harbashi
 
Huyu Mama ni mpuuzi tu nasikia darasa la 7 ndiyo maana anaongea pumba, kwanza na umaarufu wote huo kumbe kapanga nyumba!!! Nyambafu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…