miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Ha haha kilichonipoteza ni kingine kabisaTokea upate dume umepotea JF!!....Kwa nini mkipata wapenzi mnapotea JF lakini?why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haha kilichonipoteza ni kingine kabisaTokea upate dume umepotea JF!!....Kwa nini mkipata wapenzi mnapotea JF lakini?why?
Mwanaume kama kichwa cha familia anapaswa kuwa MWANAUME sio unalea kidonda kikikuozea unaanza kulaumu mwanamke.
Ndio mtambue kuwa hiyo ni nature hamuwezi kupingana nayo. Hivyo mpige kazi tu ili msimamie show.
Siyo kwamba ulipata dume?Ha haha kilichonipoteza ni kingine kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unalipa bills na kipigo unapewa dadeki shida hizi... Hapohapo utasikia wanaume tumeumbwa matesoo..what nonsense
Hapana mkuuSiyo kwamba ulipata dume?
Mkuu wewe ndio K nini!! Pole sana, pambana na hali mkuu. Kidonda ulikilea mwenyewe jitahidi ukitibu.Kama uko kwenye ndoa unajua vile wanaume hawapendi kununiwa, yaani atahangaika ili tuu amani ipatikane.
Sasa km unataka kumpeleka mtoto feza nasari tuu wkt kuna shule ya sh.950,000 tuu unategemea nini? Wakati wanabishana J anasema shoga Yangu ...... Mwanae anasoma Tanganyika utakuwa Mimi.inabidi umuache tuu asimamie show.Akigonga mwamba anachezea kichapo km hivyo anarudi kwenye mstari.
Sasa ndiyo ataishi Maisha yake halisi watahama hapo na watoto watasoma shule zile za being nafuu.
Ila yooote afanye ya ndani kutoka nje hilo ni tatizo.
Nyie ndio wale wale next single " Mazaz"bora utombe ufanye logistics za home kuliko kutangazwa dunia nzima jamani
HahahaNilikuwa sijui kama dada mwenye chura kama wewe anaweza kuwa wife material!
Inawezekana ni kweli ila tofauti yetu na huyu mwenzetu ni kwamba "sisi" hatujayaleta kwenye sosho midia.Thread nyingi za wanawake humu JF zinaakisi maisha ya akina J.....ila leo 99% watamponda J
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watoto wa kike kuweni makini makamanda wanapiga, makamanda hawalipi kodi makamanda ni akina Marioooooo ukiona kijamaa kinajiita kamanda kinatanuatanua vidole [HASHTAG]#VUNJA[/HASHTAG] [HASHTAG]#MAZOEA[/HASHTAG] Fukuza ukaribu ni mzigo katika maisha yako Kimeta kanivunja mbavu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza huyo demu nilikutana nae hana Chura kapigwa pasi tako limenyooka kama sare ya traffic police.
Wanaume muwe mnaangalia na vitu vya kuoa. Mijianamke mingine ni laana
Mkuu wewe ndio K nini!! Pole sana, pambana na hali mkuu. Kidonda ulikilea mwenyewe jitahidi ukitibu.