Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Mwanaume kama kichwa cha familia anapaswa kuwa MWANAUME sio unalea kidonda kikikuozea unaanza kulaumu mwanamke.

Ndio mtambue kuwa hiyo ni nature hamuwezi kupingana nayo. Hivyo mpige kazi tu ili msimamie show.

Kama uko kwenye ndoa unajua vile wanaume hawapendi kununiwa, yaani atahangaika ili tuu amani ipatikane.
Sasa km unataka kumpeleka mtoto feza nasari tuu wkt kuna shule ya sh.950,000 tuu unategemea nini? Wakati wanabishana J anasema shoga Yangu ...... Mwanae anasoma Tanganyika utakuwa Mimi.inabidi umuache tuu asimamie show.Akigonga mwamba anachezea kichapo km hivyo anarudi kwenye mstari.
Sasa ndiyo ataishi Maisha yake halisi watahama hapo na watoto watasoma shule zile za being nafuu.
Ila yooote afanye ya ndani kutoka nje hilo ni tatizo.
 
Kamanda Kileo kumbe anateleza tu. Ufipa awamlipi mshahara kweli?

Any way dada J akumbuke malipo hapa hapa duniani kwa alichomfanyia yule dj wa mawingu ndio analipwa sasa.
 
Unaenda kuoa beki 3 unategemea nini.

NB: Epuka kutongoza au kuoa mwanamke Mwenye chembechembe za uanaharakati wa kutetea haki za wanawake, Hilo ni Bomu muda wowote litalipuka.
 
Mimi kilichonishangaza tu nikwamba analipa kodi ya nyumba sasa nikajiuliza hivi huyu mwanamke ni tahaira au hivi kwa umri huo na mbwembwe hizo bado anapanga hadi hii leo kweli? kumbe ni house gal mstaafu!
 
Kama uko kwenye ndoa unajua vile wanaume hawapendi kununiwa, yaani atahangaika ili tuu amani ipatikane.
Sasa km unataka kumpeleka mtoto feza nasari tuu wkt kuna shule ya sh.950,000 tuu unategemea nini? Wakati wanabishana J anasema shoga Yangu ...... Mwanae anasoma Tanganyika utakuwa Mimi.inabidi umuache tuu asimamie show.Akigonga mwamba anachezea kichapo km hivyo anarudi kwenye mstari.
Sasa ndiyo ataishi Maisha yake halisi watahama hapo na watoto watasoma shule zile za being nafuu.
Ila yooote afanye ya ndani kutoka nje hilo ni tatizo.
Mkuu wewe ndio K nini!! Pole sana, pambana na hali mkuu. Kidonda ulikilea mwenyewe jitahidi ukitibu.
 
Watoto wa kike kuweni makini makamanda wanapiga, makamanda hawalipi kodi makamanda ni akina Marioooooo ukiona kijamaa kinajiita kamanda kinatanuatanua vidole [HASHTAG]#VUNJA[/HASHTAG] [HASHTAG]#MAZOEA[/HASHTAG] Fukuza ukaribu ni mzigo katika maisha yako Kimeta kanivunja mbavu.
 
Kwanza huyo demu nilikutana nae hana Chura kapigwa pasi tako limenyooka kama sare ya traffic police.

Wanaume muwe mnaangalia na vitu vya kuoa. Mijianamke mingine ni laana
 
Thread nyingi za wanawake humu JF zinaakisi maisha ya akina J.....ila leo 99% watamponda J
Inawezekana ni kweli ila tofauti yetu na huyu mwenzetu ni kwamba "sisi" hatujayaleta kwenye sosho midia.

Tukubaliane tu kuwa Joyce amekosea na sio Leo tu hukosea mara nyingi sana linapokuja suala la kuhandle issue za ndoa. Hana busara.
 
Watoto wa kike kuweni makini makamanda wanapiga, makamanda hawalipi kodi makamanda ni akina Marioooooo ukiona kijamaa kinajiita kamanda kinatanuatanua vidole [HASHTAG]#VUNJA[/HASHTAG] [HASHTAG]#MAZOEA[/HASHTAG] Fukuza ukaribu ni mzigo katika maisha yako Kimeta kanivunja mbavu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kuna ukweli hivi!!!
 
Kwanza huyo demu nilikutana nae hana Chura kapigwa pasi tako limenyooka kama sare ya traffic police.

Wanaume muwe mnaangalia na vitu vya kuoa. Mijianamke mingine ni laana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo mtamtoa kasoro zote.
 
Mkuu wewe ndio K nini!! Pole sana, pambana na hali mkuu. Kidonda ulikilea mwenyewe jitahidi ukitibu.

espy bwana weee tumejibishana kwa hoja sasa naona unaenda kunipa wadhifa wa kamanda.
Matatizo hayo yapo siyo kwa K & J tuu.
Kuna best yangu aliowa mwanamke kwao kuna ghorofa alikataa kuishi sinza mpk wakaenda kuishi kwa ndugu kwa muda weee acha tuu.
Tunachoongea kinaeleza Maisha ya watu wengine pia.Hata ukifumba macho unaweza kuna ndoa yako kidogo inapita mistari Fulani kupitia nyuzi za humu mama.
espy relux na tudiscuss hoja My ok
 
Back
Top Bottom