Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Hahaaaa ulikua ukisema weka picha natamani nikuwekee ila nasema siweki wala nini... ngoja nikaushe...

Sio siri nilikua naumiaa unajua Mungu kaweka ile nafsi inakusuta kama umemkosea mwenzio,hata siku zile ulikua na hasira sana sikujisikia poa kabisaa,na Kantangaze sikumtumia pm kabisa basi nilijisikia vibaya nikaona huyu ngoja tu nimjibu hhhhaaaa
Basi toka wiki iliyopita nawaza nikuandikie pm nikasema hapana naandika hapa hapa,kwan tulichambana pm! !? Hhhhaaaa

Nakumbuka nikasema sasa hii niniii zamani ulikua unaniwekea picha,
 
Mnunulie zile za azamu zinauzwa elfu mbili zinakuwemo 12 nadhan halaf umtumie kwenye basi
Cc@honey Faith njoo nimesamehewa mimii

Sitaki kuamini umesamehewa badala na mie unipigie debe nipate keki nzuri wewe tena ndio unatoa ushauri wa azam.Kuanzia leo nimekugaya sichezi na wewe
 
Pepo lishashindwa hilo... tulikua tunashindwa hata ku enjoy ubuyu kwa raha... ushoga umerudi upya...

Unajua watu waliyakuza basi tu na unayajua mambo ya pm yalivyo linatoka hili linaingia hilii,lakin nishajifunzaaa kabisaaa siku ile tumepewa ban nikamuambia msukuma nimepewa ban akaniuliza umetukanana na nani tena nikamuambia Heaven on earth, shoga alinishushua akaniambia we ndio mchokozi umemchokoza mwenzio basi nikakubali tu ni kweli
Hhhhhaaaaaa
 
Sitaki kuamini umesamehewa badala na mie unipigie debe nipate keki nzuri wewe tena ndio unatoa ushauri wa azam.Kuanzia leo nimekugaya sichezi na wewe

Kwani we wataka keki yaaje iliyopambwa eeeee mbona hua naona si nzuri zina sukari nyingiiii kweli, basi akutengenezeee inaonyesha we na keki damu damu mi napenda lakini zile hazina hayo ma ice sugar
 
Kwani we wataka keki yaaje iliyopambwa eeeee mbona hua naona si nzuri zina sukari nyingiiii kweli, basi akutengenezeee inaonyesha we na keki damu damu mi napenda lakini zile hazina hayo ma ice sugar

Keki kubwa kubwa lakini pia isiwe na ice sugar.Akinipa nitakugaia kidogo...
 
Jamani ni kweli hivi vinyweleo ni vya lemutuz?
 
Attachments

  • 1414599724439.jpg
    1414599724439.jpg
    41.1 KB · Views: 182
Yaan kila nikiparudia mimi hoiii
Warumi umemfikisha hapaa
Heaven nilikukosea sana na mimi ndio kachokozii kwa kushabikia mambo yale yasiyonihusu,naomba unisamehe usibaki na kinyongo tusameheane vinyongo vyote tuvitupe kule hata majembe hugongana sembuse sie nisamehe shoga angu,ya moyoni haya sijaona haja kuandika pm japo ni machache lakini yana maana tusikae na vnyongo kwa mambo ya kijinga na kipuuzi,sawa my dia nipo nimepiga magoti huku nasubiri msamaha upitishwee

Hahaa nimekumbuka ile siku wewe na Kanitangaze ilikua balaaa
 
Back
Top Bottom