Wala anamiss vurugu, manake sipoi.Alichomiss hapo ni kupikiwa chakula na kufuliwa nguo😀😀
Malizia sentensi.Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Hapa nafight likizo ya wiki mbili tena kipindi cha xmas na mwaka mpya nisiwepo. Nikipewa nachinja jogooWala anamiss vurugu, manake sipoi.
Natamani likizo hata ya wiki, najua siwezi kupewa🤣🤣🤣
Anzia ngazi ya kaya hadi taifa utaelewa namaanisha nini..Mmh hapana mtu akipewa hela wizi atauacha
Tuanze kuandaa mbinu za kuruhusiwa🤣🤣🤣Hapa nafight likizo ya wiki mbili tena kipindi cha xmas na mwaka mpya nisiwepo. Nikipewa nachinja jogoo
Kwa zama hizi unawezaje kumchunguza mama mkwe?Bora angebaki. Kwa sasa ndo kama kaenda kunoa kisu.. akirudi atakiwasha zaidi. Chimbuko la tabia zake mbaya ni familia yao hasa mama. Ulimchunguza mama yake kabla hujamuoa?
Chenji kwa kweli hata mimi nachukua. Na nikikuta noti noti ndo kabisaaaa inategemea na wingi wake,Lazima nichomoe sasa sijui kanishtukia siku hizi anaziacha kwenye gariTuanze kuandaa mbinu za kuruhusiwa🤣🤣🤣
Mimi hata nikipewa siku tatu kesho yake nufuatwa.....utasikia nimekumiss mke wangu, nyumba imepooza🤣🤣🤣 Na chenji huwa nabeba.....akaiacha hata jero haikuti🤣
Mbn mnanitisha jaman sjui ntaoa kwwl na mmNayaonea wivu hayo mapumziko yako.
vitu rahisi lakini hukujibu hoja yangu na wala sikusemaa kuwa yeye hayupo kwenye kadhia.Daah unaongea vitu kirahisi kama hivyo vitu havipo huyo jamaa kaongea ukweli na wengi wapo kwenye hiyo kadhia wewe unajifanya yeye ndio kakosea...
Uliwezaje oa wake wawili mkuu...?Kaka na kuelewa vizuri sanaa wanawake wengine ni kero, ndoa kama hujakomaa kiakili nashauri vijana kuachana nao,
Mimi ugonjwa wangu siwezi kuzini hata iwe siku moja na siwezi kukaa mwezi bila utelezi hicho kime nifanye nioe wake wawili for emergence incase moja nikimpa likizo mgine ipo ku-cover nafasi kwa hivo nimeishi bila stress za wanawake, usije ukabembeleza mwanamke kubaki akiomba nauli kuenda makwao kama unao mpe hiyo hiyo siku.
Itakua huko ndani kunawaka moto , sura haina nafasi tena or nafasi yake ni ndogo mno, watu tunaangalia muonekano huku tukisahau mambo mengine muhimuKuna Mwanangu alioa ana mwaka wa 3 siv. Kila tukipiga story za kuoa, hua ananiambia mwanangu usiangalie Sura hata kidogo.
Sijui amekutwa na nn huko kwenye ndoa yake.
Mkuu umeongea point huyu jamaa hajiongeziWatu mnaogombania Tv wengine wanatamani wakose uhuru wa kuangalia Tv ili wapate kisingizio cha kuzama ile bar mpya pale jirani na home[emoji16][emoji16]
Labda sio mtu wa liquid