Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Mmh hapana mtu akipewa hela wizi atauacha
Anzia ngazi ya kaya hadi taifa utaelewa namaanisha nini..

Kubadilisha tabia ya mtu ni ngumu sana, kama mtu asili yake ni udokozi, umbea, uchoyo, ubinafsi, kulalamika na wivu hapo ujue kubadilika kwake si suala la mtu mwingine bali ni yeye mwenyewe ajibadilishe au hatima iamue..
 
Hapa nafight likizo ya wiki mbili tena kipindi cha xmas na mwaka mpya nisiwepo. Nikipewa nachinja jogoo
Tuanze kuandaa mbinu za kuruhusiwa🤣🤣🤣
Mimi hata nikipewa siku tatu kesho yake nufuatwa.....utasikia nimekumiss mke wangu, nyumba imepooza🤣🤣🤣 Na chenji huwa nabeba.....akaiacha hata jero haikuti🤣
 
Tuanze kuandaa mbinu za kuruhusiwa🤣🤣🤣
Mimi hata nikipewa siku tatu kesho yake nufuatwa.....utasikia nimekumiss mke wangu, nyumba imepooza🤣🤣🤣 Na chenji huwa nabeba.....akaiacha hata jero haikuti🤣
Chenji kwa kweli hata mimi nachukua. Na nikikuta noti noti ndo kabisaaaa inategemea na wingi wake,Lazima nichomoe sasa sijui kanishtukia siku hizi anaziacha kwenye gari
 
Una tatizo dogo sana ndugu ukisikia hiki nachokuambia wewe hutamuona na tabia mbovu

Mkeo kakuzidi kwenye mzaganuano unamuacha njia panda

Hebu unapomtomba mtombe kweli kweli , tukana matusi yote wakati wa kumtomba uone kama ataendelea , kutukana watoto nyoko , ni dalili ya kuwa muwasho Huwa haumuishi


Fanya hivi mpigie cm huko huko kwao nenda ugeni kamshughulikie kwao hapo hapo yaani tomba kama hutakuka kukaza tena uone heshima itakavyorudi
 
Daah unaongea vitu kirahisi kama hivyo vitu havipo huyo jamaa kaongea ukweli na wengi wapo kwenye hiyo kadhia wewe unajifanya yeye ndio kakosea...
vitu rahisi lakini hukujibu hoja yangu na wala sikusemaa kuwa yeye hayupo kwenye kadhia.

Ila ukweli ni kwamba amemruhusu kutoa hizo fedha kidogo kidogo huku akiwa amenyamaza na mwanamke akazoea.
 
Kaka na kuelewa vizuri sanaa wanawake wengine ni kero, ndoa kama hujakomaa kiakili nashauri vijana kuachana nao,

Mimi ugonjwa wangu siwezi kuzini hata iwe siku moja na siwezi kukaa mwezi bila utelezi hicho kime nifanye nioe wake wawili for emergence incase moja nikimpa likizo mgine ipo ku-cover nafasi kwa hivo nimeishi bila stress za wanawake, usije ukabembeleza mwanamke kubaki akiomba nauli kuenda makwao kama unao mpe hiyo hiyo siku.
Uliwezaje oa wake wawili mkuu...?
 
Kuna Mwanangu alioa ana mwaka wa 3 siv. Kila tukipiga story za kuoa, hua ananiambia mwanangu usiangalie Sura hata kidogo.

Sijui amekutwa na nn huko kwenye ndoa yake.
Itakua huko ndani kunawaka moto , sura haina nafasi tena or nafasi yake ni ndogo mno, watu tunaangalia muonekano huku tukisahau mambo mengine muhimu
 
Back
Top Bottom