Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Hongera sana mkuu kwa uamuzi mzuri
 
Aseeh😆
 
Timbwili kama za Chausiku a.k.a Shamsa Ford🤣🤣🖐️
 
Alikuwa amekupanda kichwani alikuwa anajua huna cha kumfanya we mwanaume suruali tu. Ivi mwanamke anaanzaje kufanya ushenzi huo kwa mwanaume hasa aliekamlika kuitwa 'baba wa familia'
 
Kwa zama hizi unawezaje kumchunguza mama mkwe?
Mnakutana daslam mama mkwe yupo kigoma mnaonana siku ya harusi
Mama mkwe huchunguzwa na kamati maalum ya wazee. Kwa kabila letu ukisema unataka kuoa kitu cha kwanza ni wazee kutumia utaalamu wao kumchunguza mama mkwe. Wakiona mama mkwe hana shida basi wanakupa baraka zote za kuoa. Kama mama mkwe ni kimeo watakuambia huyo mke mtarajiwa hafai ila hawatakulazimisha uachane nae. Mama mkwe matters
 
Ana inferiority complex huyo!akirudi mfungulie hata kigenge maana hawezi shinda mabega wazi gengeni,akiwa na kauchumi flan katondoa hiyo tabia ya inferiority complex,na pia ataacha udokozi wa vichenchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…