Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Huyo mkeo ana matatizo. Hajui afya ya mtu ni kitu muhimu kuliko chochote. Khaaa, kazi unayo. Wengine tuko proud kuwahudumia wapenzi wetu especially wakiwa wanapitia changamoto.
 
Mwanamke hata anune mchana kutwa, akishavua nguo kununa kote kunaisha. Ukiwahi kukojoa kabla yake ndio ataanza kukusemesha, lkn ukimuwahisha kukojoa, fasta tu akishamaliza kukufanyia usafi utamsikia anakoroma tartiiibu na mkiamka kesho bifu limeisha
Sasa hapo si unalea uvundo?! Ukibahatika kajifanya anajua kununa na kukupanda kichwani? Unatafuta hata kigest cha bei poa,unakua unaenda kulala huko. Kama mna watoto,unakuja unawasalimia,tena unawazidishia mapenzi kabisa. Unachukua begi lako, linabaki kujiuliza hapa kuna nini. Mashoga wakiita au kupiga simu,linaanza kuimba "Nimeachwa mimi sitaki maswali". Likiomba msamaha,mara njaa,mara bili ya umeme,unafanya mpango linarudisha gharama zako,unahamia chumba cha wageni,na unafunga.
 
Yaani mimi uniambie niende kwetu bila sababu ya msingi na sijataka mwenyewe kwenda maweeeee...
NIkienda sirudi utatuma winch ije kunibeba kutoka huko.

Labda uniambie kabisa umeniacha nijue moja
we una afadhari..mie hata naul8 usihangaike kunitaftia...
 
Huo Ni ukatili. Hawa viumbe mbona rahisi tu kuwatuliza...
 
huenda na yeye akiugua humthamini...wanawake tuna asili ya visasi...pole sana
 
kama kaka mkubwa Mshana Jr kasena na katoa link mimi ni nani nitie neno badala ya kusoma Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano. shukran mkuu
 
Mbna Kama umemrudisha kwa ishu ndogo sana
 
Mama Yuko sahih yule Ni vzr kuweka akiba kwa gharama yoyote
 
Huyo akirudi jiandae kupinduliwa, hakika huko alipoenda ameenda kujanzwa sumu kali na hatari sana kuhusu wewe.

Lazima watamuambia ulimuondoa ili uwe huru na may..laaYaa zako
 
Mama Yuko sahih yule Ni vzr kuweka akiba kwa gharama yoyote
Hakuna aliyekataa kuweka akiba ila kumshirikisha hg hapo ndo inaleta ukakasi, weka pale tunapowekaga, kama anamshirikisha kwenye kula ganchi, ni mangapi ya chumbani anamshirikisha pia?
 
Malezi mabovu , mmomonyoko wa maadili na utovu wa nidhamu hasa kwa wanawake ni chanzo kikubwa cha ndoa kuvunjika na kuharibu mahusiano .
Zamani ndoa zilidumu kwa sababu moja tu : Nidhamu ,maadili na malezi thabiti , mwanamke alifunzwa na kuelewa namna ya kuishi kama mwanamke na mama ndani ya familia .
 
Siku hizi huwezi hata tofautisha mwanamke chokoraa au changudoa wa mtaani na mwanamke ambaye sio
Na hii inaanzia kwenye familia , mabinti wanalelewa kwa njia za kipuuzi sana na kujengewa msingi mbovu ambao ndio huo huo unakuja kuwa tatizo kubwa katika ndoa na kuendeleza tatizo ndani ya jamii
 
Ukiona manyoya? Huyo tayari. Kwao huko anaimba kwamba hataki maswali
Huko alikoenda watoto wa mbwa watamgonga wamle hadi mifupa na akirudi kwako amechoka. Usijaribu kufanya hili sio jambo zuri. Kama unamuacha muache moja kwa moja asirudi.
 
Huko alikoenda watoto wa mbwa watamgonga wamle hadi mifupa na akirudi kwako amechoka. Usijaribu kufanya hili sio jambo zuri. Kama unamuacha muache moja kwa moja asirudi.
Kwani kinachompa kiburi ni nini? Muache akagongwe kwa buku jero. Na hiyo tv alokua anatolea vijimaneno aiangalizie kwenye banda la mpira. Mtoa mada, begi lake fungasha nielekeze tutampelekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…