granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
na wewe huwa unafanya hvo?yes...wewe umeshangaa kushirikiana na hausgelo wake..ndo nikasema ni KAWAIDA MNOO...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe huwa unafanya hvo?yes...wewe umeshangaa kushirikiana na hausgelo wake..ndo nikasema ni KAWAIDA MNOO...!
Huyo mkeo ana matatizo. Hajui afya ya mtu ni kitu muhimu kuliko chochote. Khaaa, kazi unayo. Wengine tuko proud kuwahudumia wapenzi wetu especially wakiwa wanapitia changamoto.Ni kuvumilia mkuu. Mimi tangu jana nina homa kali, asubuhi nimeamka nipo hovyo nikaomba wife anitengenezee tangawizi aise akaanza kurap huoni nafanya usafi! Yaani nyumba hii Kila kitu Mimi! Mtoto akaomba maji akaambiwa Kwa kufoka kanywe bombani!
Unajua usipokua mvumilivu ni unavunja mtoto wa watu.
Nikainuka nimempa mtoto maji nikajitengenezea tangawizi yangu, jioni hii yupo kawaida anaongea vizuri
Sasa hapo si unalea uvundo?! Ukibahatika kajifanya anajua kununa na kukupanda kichwani? Unatafuta hata kigest cha bei poa,unakua unaenda kulala huko. Kama mna watoto,unakuja unawasalimia,tena unawazidishia mapenzi kabisa. Unachukua begi lako, linabaki kujiuliza hapa kuna nini. Mashoga wakiita au kupiga simu,linaanza kuimba "Nimeachwa mimi sitaki maswali". Likiomba msamaha,mara njaa,mara bili ya umeme,unafanya mpango linarudisha gharama zako,unahamia chumba cha wageni,na unafunga.Mwanamke hata anune mchana kutwa, akishavua nguo kununa kote kunaisha. Ukiwahi kukojoa kabla yake ndio ataanza kukusemesha, lkn ukimuwahisha kukojoa, fasta tu akishamaliza kukufanyia usafi utamsikia anakoroma tartiiibu na mkiamka kesho bifu limeisha
we una afadhari..mie hata naul8 usihangaike kunitaftia...Yaani mimi uniambie niende kwetu bila sababu ya msingi na sijataka mwenyewe kwenda maweeeee...
NIkienda sirudi utatuma winch ije kunibeba kutoka huko.
Labda uniambie kabisa umeniacha nijue moja
Huo Ni ukatili. Hawa viumbe mbona rahisi tu kuwatuliza...Sasa hapo si unalea uvundo?! Ukibahatika kajifanya anajua kununa na kukupanda kichwani? Unatafuta hata kigest cha bei poa,unakua unenda kulala huko. Kama mna watoto,unakuja unawasalimia,tena unawazidishia mapenzi kabisa. Unachukua begi lako, linabaki kujiuliza hapa kuna nini. Mashoga wakiita au kupiga simu,linaanza kuimba "Nimeachwa mimi sitaki maswali". Likiomba msamaha,mara njaa,mara bili ya umeme,unafanya mpango linarudisha gharama zako,unahamia chumba cha wageni,na unafunga.
huenda na yeye akiugua humthamini...wanawake tuna asili ya visasi...pole sanaNi kuvumilia mkuu. Mimi tangu jana nina homa kali, asubuhi nimeamka nipo hovyo nikaomba wife anitengenezee tangawizi aise akaanza kurap huoni nafanya usafi! Yaani nyumba hii Kila kitu Mimi! Mtoto akaomba maji akaambiwa Kwa kufoka kanywe bombani!
Unajua usipokua mvumilivu ni unavunja mtoto wa watu.
Nikainuka nimempa mtoto maji nikajitengenezea tangawizi yangu, jioni hii yupo kawaida anaongea vizuri
Mbna Kama umemrudisha kwa ishu ndogo sanaUmuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah
2. Nimepumzika kushuhudia mabega na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.
3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.
4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.
5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.
6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.
Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?
Ndoa..........mh!
Mama Yuko sahih yule Ni vzr kuweka akiba kwa gharama yoyoteWanawake wana mambo sana, kuna siku kwenye daladala mama mmoja akapiga simu alikuwa anaongea na house girl nadhani, akamuuliza baba kakupata sh ngapi ya matumizi....akaendelea basi sawa tumia elfu saba tu hyo elfu tatu weka pale tunapowekaga. Nilichoka na kuchoka mke anashirikiana na house girl kula ganchi kwa mumewe.
Mbna ya huyu jamaa Yana nafuu sanaKumbe kila mtu anachangamoto zake katika ndoa!
Hakuna aliyekataa kuweka akiba ila kumshirikisha hg hapo ndo inaleta ukakasi, weka pale tunapowekaga, kama anamshirikisha kwenye kula ganchi, ni mangapi ya chumbani anamshirikisha pia?Mama Yuko sahih yule Ni vzr kuweka akiba kwa gharama yoyote
Sawa. Kimemkuta nini sasa? Si mwizi? 40 yake imefika. Ovana dawa yao ni hiyo tu
Kwani unaogopa kusema kwamba ni mwizi?kwani nimesema anaiba? mshangao wangu ulikuwa kushirikiana na hg kwenye huo mchezo, ebu tafsiri hii kauli. ''WEKA PALE TUNAPOWEKAGA''
Humo piga hesabu ya dada poa wa buku 5 kwa siku. Una baki na chenji sh ngapi? Yaani umpe mwanamke kilo 2? Utakuwa na laana200k
Huko alikoenda watoto wa mbwa watamgonga wamle hadi mifupa na akirudi kwako amechoka. Usijaribu kufanya hili sio jambo zuri. Kama unamuacha muache moja kwa moja asirudi.
Kwani kinachompa kiburi ni nini? Muache akagongwe kwa buku jero. Na hiyo tv alokua anatolea vijimaneno aiangalizie kwenye banda la mpira. Mtoa mada, begi lake fungasha nielekeze tutampelekea.Huko alikoenda watoto wa mbwa watamgonga wamle hadi mifupa na akirudi kwako amechoka. Usijaribu kufanya hili sio jambo zuri. Kama unamuacha muache moja kwa moja asirudi.