KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ndoa ni taasisi inayohitaji uvumilivu na ustahimilivu ili uweze kuifurahia na kuishi humo.........
Ukiondoa changamoto za kiudhaifu wa kibinadamu lakini upendo unafunika mapungufu mengi kwa wanandoa na kuifanya iwe ni taasisi imara na yenye kupendeza.......
Kwa jinsi ulivyo tanabaisha ni dhahiri huyo mkeo ana changamoto ya malezi huko kwao ingawaje ni ngumu kuamua kesi ya upande mmoja..........
Siri ya mtungi aijuaye kata........