KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;........
Duh!....huyo mke ulimchagua wewe au uliletewa tu ukaoa ?Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;........
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha StarTv kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.......
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah
2. Nimepumzika kushuhudia mabegi na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi....
3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo....
4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....
5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku....
6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka.....hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.
Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli?!!!!! Arudi ili nije kupata stress tena?!!!!!!!
Ndoa..........mh!
Utahonga mpaka lini ili upate hiyo furaha ?...je kama huna pesa ya kuhonga ?Acha pesa kidogo kwenye suluari Kama elfu 20 hivi.
Jifanye huna habari nazo kabisa.
Usiwe siriaz stori zako ziwe za furaha furaha tu.
Hapo utapata habari za nguo kufuliwa vizuri na kupigwa pasi iliyonyooka sana.
Tunashauriwa kuweka akiba , sio kupewa hela yote na kuitumia yote bila kubakiza hata senti.Wanawake wana mambo sana, kuna siku kwenye daladala mama mmoja akapiga simu alikuwa anaongea na house girl nadhani, akamuuliza baba kakupata sh ngapi ya matumizi....akaendelea basi sawa tumia elfu saba tu hyo elfu tatu weka pale tunapowekaga. Nilichoka na kuchoka mke anashirikiana na house girl kula ganchi kwa mumewe.
Hivi nyie mnafikiri kila mtu ana uwezo wa kua na TV mbili nyumbani, kweli watu wengine ana chumba na sebule hizo kelele za tv mbili utaweza kuzimudu ulipie vinga'mzi viwili, unakipato cha kutosha mpaka kumpa mwanamke pesa zaidi, ninacho fahamu zaidi ya 80% ya wanaumme kipata chao ni hand to mouth economy.........mwanamke mdokozi hata umpe shilling ngapi atadokoa tu.Na ukiona mke anadokoa visenti vidogo ujue humpi pesa kwaajili ya matumizi yake binafsi.
Next time nunua Tv mbili moja weka chumbani uwe unapumzika huko bila bugudha. Tv ya sebuleni waachie mke na watoto. Ila mke wako ana mdomo nadhani hicho ndo ulimpendea tangu mwanzo.
Wengine tunatamani kupewa likizo hata ya siku mbili twende kwetu hatupewi .
Hivyo visenti anavyolalamika kuibiwa anao uwezo wa Tv mbili. Anaonekana anazoHivi nyie mnafikuri kila mtu anauwezo wa kua na TV mbili nyumbani, anakipato cha kutosha mpaka kumpa mwanamke pesa zaidi, ninacho fahamu zaidi ya 80% ya wanaumme kipata chao ni hand to mouth.........mwanamke mdokozi hata umpe shilling ngapi atadokoa tu.
Uweke Tv mbili kwenye chumba na sebule kweli? Hivyo vijisenti vya shilling 300, 700, 150 ndo vinunue TV kweli?Hivyo visenti anavyolalamika kuibiwa anao uwezo wa Tv mbili. Anaonekana anazo
Basi atulie asilalamike. Nimemfungua tu mawazo inawezekana uwezo wa kununua Tv mbili anao lkn hakuwahi kufikiria hilo.Uweke Tv mbili kwenye chumba na sebule kweli? Hivyo vijisenti vya shilling 300, 700, 150 ndo vinunue TV kweli?
Yanakukuta pia mpka unasahau kuweka story za movie.😅Nayaonea wivu hayo mapumziko yako.
Usione watu wanashabikia ccm kumbe deep down wana mateso yasiyokoma😂Nayaonea wivu hayo mapumziko yako.
Omba katika ndoa usije ukapata mwanamke mwenye gubu na mchafu wa mwili na mazingira utasalimu amri tu.........ndoa isikie kwa wezio omba yasikukute.Basi atulie asilalamike. Nimemfungua tu mawazo inawezekana uwezo wa kununua Tv mbili anao lkn hakuwahi kufikiria hilo.
Inawezekana ni kati ya wale wababa wabinafsi ambao akiwepo nyumbani wengine hawaangalii TV ni yeye tu anajipendelea.
ni sawa mke ana mdomo lakini ukute anaongea kitu cha kweli.
Muwe mnatupa likizo kama huyo mwenzenu alivyofanya jamani. Ni muhimu sanaUsione watu wanashabikoa ccm kumbe deepdown wana mateso yasiyokoma😂