Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Biashara means mteja anafaidika.
Kitendo cha kumuoa maana yake umefurahia product. Sasa unanunua kitu tena bila kulazimishwa halafu unakitumia huku unalalamika. Achana nacho kanunue kingine😀
Ndicho jamaa alichofanya anaishi kwa uhuru nahisi anatafuta product nyingine. Product zinatofautiana ubora na zingine zime-expire
Sasa hivi hata udokozi wa vihela vyake vya mpesa na vichenji vilivyobaki anavyoviweka juu ya meza vitakuwa salama. Kwanini asiombe?
Huyo mwanamke hata jamaa angekuwa na mali ipo siku akimuondoa duniani ili amiliki mali
Ndoa ni biashara ya mwanamke
 
Bora abaki single nakwambia atapata product nyingine yenye changamoto zingine mpyaaaaa
 
Kimsingi, TV ni kwa ajili ya kukutanisha familia pamoja. Hizi za kuweka vyumbani zinasambaratisha familia, mnakuwa hamna umoja wala ushirikiano. Muda wa kuangalia TV ndio mnapiga story za pamoja na watoto nk
 
Unaweza kutengeneza na mwanamke mwenye akili
Alafu ujue, hayo ndo madhara ya kuoa mwanamke Goalkeeper, unam-dominate kupita maelezo. Huyo mwanamke angekuwa na kipato au kazi nzuri, i am sure jamaa asingemrudisha kwao kama anarudisha gunia la viazi sijui. Na mwanamke kama hana kazi au kipato toshelevu kwa familia, more likely hana exposure ya kutosha pia kwenye maisha. Hapo inabidi uwe mvumilivu tu maana tabia zote za kiswahili utaziona, haha
 
Sijaona tuhuma ya kuchepuka, huyu Hana shida mkuu hizi zote zinavumilika... Sasa mkuu unaangalia Star TV wewe msukuma?
 
Na pia anadokoa kwa sababu hana kazi, huyo lazima awe GoalKeeper, Mwanamke anayeshinda nyumbani asubuhi hadi jioni 24/7, wanakuwaga na visirani sana. Wanawake nao wasipende kuolewa bila kuwa na vyanzo vya mapato vya kukidhi haja zao maana wanavunjiwa sana heshima, mtu anarudishwa tu nyumbani kama kifurushi, upumbavu sana.
 
Hili neno.....NDOA NI UVUMILIVU..
hivi mbona sionagi orodha ya vya kuvumilia?
Sijaoa na sidhan [mana nimeshavuka due date]
mpaka nipone ugonjwa wa wivu na ubinafs wa kutaka mke wangu tu.
Hivi na kuchapiwa kumo kwenye orodha?
Hekma zangu zinaniambia silaha kubwa namna laini ya kupambana na kero za ndoa ni KUZIPIGA KWA UPENDO.
lakin sijui practice inasemaje.
Mke anayedokoa pesa...mpe pesa zisizo na sabab.
Mke anayependa kula kula...weka stock kubwa aione muda wote.
Mke muongea ovyo...Muwahi kwa story nzuri nzuri, hata za kishilawadu, mhudumie style za kihuni na za kifitina asinzie hajasema upuuz wake.
PIa tukubari tu kumcha Mungu ni chanzo cha maarfa.
Familia zisizosali kwa iman yoyote huwa ni kama selo.
PAMOJA NA KUATHIRIWA NA MILA ZETU ZA KIBABE LAKIN KUNA WANAUME NI WAKAKSI MNO.
MKE YUKO KAMA JKT VILE.
ETI KISA MME AONEKANE STRONG.
...AKILI INA NGUVU KULIKO MAGUVU...
 
Ni madhara ya kutazama matako ya mwanamke kuliko AKILI
 

Itoshe kusema pole sana, lakini jingine unaishi maisha ya shida sana mwenzi wako lakini pia tabia umeilea mwenyewe toka mmlipoamua kuishi pa1

Kuna madhaifu alikusoma unayo toka mwanzo ambayo ukiyabadili hata yeye atahoji na kuona umebadilika na yeye abadilike la sivyo pole sana!

Huna msimamo kama mwanaume jifunze hilo tu mengine yote yatakaa kwenye mstari ulionyoka.

Mimi kwangu bora ndani kusikalike ila sio jambo langu lipuuzwe au lisiende nitakavyo ye ni nani?
 
Naona akili zako zimemezwa na papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…