Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Ukiangalia Kwa undani utagundua kuwa Kuna uhuru flani.Watu hawapumui Kwa uhuru,mkiwa wawili hata mmoja akijamba lazima mtumbuliane mimacho,sahizi mkuu unaweza Jamba Kwa nguvu ni Wewe tu.
 
Huu uzi umeenda kwa kasi ya kimbunga. Hii inaashiria ndoa nyingi zilisha nasa kwenye ndoano. Ambao bado hamjaingia kwenye ndoa, jifunzeni kutokana na makosa ya waliowatangulia. Omba sana Mungu akujalie kupata mwenza utakaye endana naye.
 
Back
Top Bottom