GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao.
Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na Uchangumfu ila kwa huyu 'Dusku' aliyeondoka Jana Alfajiri niliona akiwa na Nyuso iliyofura huku muda Wote akiwa Anasonya tu.
Yaani Hela yake ya Usajili mliyomkopa hamjammalizia na Kutwa tu mnamzungusha halafu hata hajakaa sawa Wachezaji wenu Wawili Wazawa Mmoja aliyeumia Lilongwe kwa Kuanguka vibaya kama Gunia la Viazi la Lumbesa Soko la Mwanjelwa na mwingine Wiki iliyopita aliingia Sub na bado tena akafanyiwa Sub kutokana na Kurukaruka Kwake tu Uwanjani na Rasta Uchwara zake za akina Dada Maimuna wa Mwenge kwa Nyakati tofauti Wote Wanamroga ( Wanampiga Sindano za Asili ) huyu 'Dusku' wa Watu mnategemea atakaa Kweli?
Kasema atarudi mkimmalizia Fedha zake na mkiitisha Kikao na Wachezaji wenu ili muwaambie kuwa Waache Kurogana hovyo kwani Wanaumizana na Wanaiumiza Klabu kwani huenda kwa tabia hii ya Wachezaji kupigana Sindano za Asili ( Kurogana ) kama ambavyo hata Mchezaji Aziza Key amekuwa Akilalamika mno inaweza Kusababisha Wachezaji Wakubwa, Mahiri na Tegemeo wakawa ni Majeruhi na Timu ikapotea kabisa Kimatokeo huku Mnyama Yeye akichanja zake Mbuga tu kwa Maushindi yake.
Kudadadeki.....!!