Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

Tanzania hakuna Ubalozi wa South Africa? Nina Rafiki zangu wako USA Wao Passport zao zikiisha au hata wakitaka tu Kuzihuisha ( Renew ) huenda tu Ubalozini ( huko huko Marekani ) na wanashughulikiwa hadi Kuzipata tena hata bila ya kuja huku Tanzania.

Katafute wa Kuwaokota Mkuu sawa?
Mkuu nikusaidie, Balozi za Tz nyingi ughaibuni kazi Yao ni kuhudhuria sherehe tu mkiwaalika hawana msaada wowote hata ukifa ni umoja wenu Diaspora wa nchi uliyopo ndo watachanga pesa na kukusafirisha home!

Passport ya Tz ikiisha ukienda ubalozini wanakwambia wao wenyewe chukua mwewe shuka bongo ukarenew maana kwa kuprocess ubalozini ughaibuni inaweza kuchukua hadi mwaka mzima!

Balozi zetu za ulaya zote ni hopeless, hawatafuti fursa za ajira wala kusaidia wabongo kazi Yao ni kumpokea Rais tu akifika kwao nothing else! Ni selfish mno mno! Matumbo makubwa tu majitu hayana faida! Sijui kwa ubalozi wetu wa US maana sijafika!

One time kuna mbongo alifika ulaya kimazabe nikabahatika kukutana nae nikaomba msaada ubalozi wetu hata mia hawakutoa, nikamsaidia jamaa kwa pesa zangu hadi wazungu walipompokea na kumpa makazi ya muda wakati akishughulikia mambo yaliyomleta ulaya! Balozi zetu za ulaya hovyo kabisa majitu yanaboa mno! I wish ningepewa kazi na Bimkubwa ya kuwafanyia performance appraisal ( I have developed RBM model) Kila mwaka ningeyarudisha mabalozi mengi tu bongo! Hata fursa za kuleta matunda au Maua ulaya hawatoi , Uganda tu wanauza unga wa Dona ulaya sisi Balozi zetu za nje zimekaa tu kazi kula mishahara mikubwa ya Bure!
 
Back
Top Bottom