Baada ya Kumsajili Mchezaji niliyemtaka Steven Mukwala kutoka Uganda sasa naomba mnisajilie Kiungo Mchezeshaji kama Haruna Niyonzima Timu itishe zaidi

Tena itakuwa sajili ya damu changa kabisa hii
 
Sasa hivi mambo ya bahasha ya gsm haipo 🙄.... Baadae tukianza kusambaza dozi hamkawi kulialia.
 
Hawa mashakuvipi Hawa hawana kipya Yanga ni makombe kwenda mbele acha wajilostishe wakijipa mihope
 
Namna pekee ya kuishusha Yanga labda wafulie tena waanze kutembeza bakuli,,,,,,ila noti ikiwepo hilo kombe litabebwa hata mara 10 mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…