GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimefurahi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kufanikisha haraka sana Usajili wa huyu Mshambuliaji mahiri mno kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vizuri kabisa Mkuu.Yupo vizuri mno ila inahitajika uvumilivu mkubwa mno kwa sisi mashabiki kuipata simba imara tena .
Kwahiyo msimu ujao hatubebi kombe?Yupo vizuri mno ila inahitajika uvumilivu mkubwa mno kwa sisi mashabiki kuipata simba imara tena .
Mpira haupo kama unavyofikiri mkuu , mpira ni uwekezaji na kujipa mda , ili timu iwe imara tena nilazima kufa kwanza, ili mbegu iote ni lazima ife kwanza.Kwahiyo msimu ujao hatubebi kombe?
Wapumbavu Siku zote ndiyo huongoza kwa Kukurupuka na Kutonielewa GENTAMYCINE kile nikiandikacho JamiiForums.Tena itakuwa sajili ya damu changa kabisa hiiView attachment 3031521
Madini sanaMpira haupo kama unavyofikiri mkuu , mpira ni uwekezaji na kujipa mda , ili timu iwe imara tena nilazima kufa kwanza, ili mbegu iote ni lazima ife kwanza.
Ha ha haHuyu jamaa kama Hafidh Konkon alimshinda magoli tusitegemee lolote toka kwake
[emoji1666][emoji81][emoji81]Sasa hivi mambo ya bahasha ya gsm haipo [emoji849].... Baadae tukianza kusambaza dozi hamkawi kulialia.
Kocha anapatikana lini? Najua we ni mzee wa taarifa za ndani kbs.Nimefurahi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kufanikisha haraka sana Usajili wa huyu Mshambuliaji mahiri mno kabisa.
Kwani aliyeko Mgunda au walioko sasa Mgunda na Matola hawafai?Kocha anapatikana lini? Najua we ni mzee wa taarifa za ndani kbs.
Wanafaa sana. Wapewe kazi rasmi sasa. Tujue zigo ni lao wenyewe.Kwani aliyeko Mgunda au walioko sasa Mgunda na Matola hawafai?
Debora vipi hamjamsajili?Yupo vizuri mno ila inahitajika uvumilivu mkubwa mno kwa sisi mashabiki kuipata simba imara tena .