Kwann mmezuia Facebook hamjui mnawatia hasara watuView attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Na tundu lake litakua na futa la kutoshaKama yale aliyoongea ya kawaida basi wewe unawaza kwa kutumia tundu la donati
mbona limeshaongewa sana hamna la mana ambalo halijawahi kuongelewaNilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa na kitokanacho na najisi ni najisi, hili siyo jambo dogo hata kidogo.
duhView attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Huyu jamaa hivyo kabisa.View attachment 3409784

Wapi nimesema halijaongelewa? Una uelewa mdogo sana, ningekuona wa maana kama ungekanusha na kusema alichosema siyo kweli, na kwa kauli yako ni kuwa hata wewe unakiri kuwa Samia siyo mgombea halali kwa vile mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa.mbona limeshaongewa sana hamna la mana ambalo halijawahi kuongelewa
Mkuu viazi na mambumbu ni mengi sana.Kama yale aliyoongea ya kawaida basi wewe unawaza kwa kutumia tundu la donati
Mkuu naona una mihemko kweli kweli. Ugali wako uko hatarini nini? Soma tena ulichoandika halafu jiulize mbona wamemvamia dada yake?View attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Wewe na mume wako? Watanzania sisi hatumtaki.Tuko na Mama Samia na tunatamba nae
View attachment 3409784