Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

View attachment 3409784

Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.

Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.

Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee

Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.

Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Vyombo vya dola vinaingia sana mkenge hata pasipostahili
 
Hahaha kumbe naweza kuwa rais kama hawa ndio watawala wetu?
 
Nimejutia kupoteza MBs zangu.
 
We jamaa kumbe ni matrako umeanza vzr unamalizia ushuzi, masikini umbwa takataka ww
 
Kwanini ulikua unamchukia sana JPM?
 
Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa na kitokanacho na najisi ni najisi, hili siyo jambo dogo hata kidogo.
Sidhani kama kuna shida hapa. Kwani kikao cha juu kinachompitisha mgombea wa CCM ni kipi? Kama wamekubaliana wao, je Polepole ni nani wa kuwahoji?

Huyu bazazi ndiye mshirika wa ukandamizaji demokrasia na uvunjifu wa sheria enzi za Magufuli, asidhani kuwa tumesahau. Wacha naye anywe hilo togwa walilorikoroga na Magufuli
 
Kama yale aliyoongea ya kawaida basi wewe unawaza kwa kutumia tundu la donati
Wewe kama unadhani ni mapya basi kichwa chako ni bustani ya nywele tu. Tabula rasa
 
View attachment 3409784

Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.

Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.

Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee

Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.

Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Ni wewe huyu huyu au kivuli. Kumbe JPM ulikuwa na visa naye
 
Back
Top Bottom