Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

View attachment 3409784

Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.

Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.

Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee

Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.

Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
...'wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia'...

Mkuu, vurugu zote zinazolalamikiwa na wananchi kukandamiza demokrasia, utekaji na mauaji kwako wewe ndiyo utawala bora?

Kumekuwa na kampeni za kupiga debe kusifia kijumla jumla kuhusu miundo mbinu za kushangaza sana!

Wapenzi wa utawala huu, muwe mnataja specifically kwa majina pamoja na maeneo miundombinu iliyoasisiwa na kukamilishwa na Rais huyu kwa kutekelezwa.

Ninapoishi mimi, sijaona muundo mbinu wowote ulioanzishwa na Serikali ya awamu hii.

Iliyopo na iliyokwama ni ile iliyoasisiwa na awamu iliyopita ya 5.

Huduma za afya unazozisifia wewe ni majengo mazuri yasiyotoa huduma bora za afya.

Kama una gonjwa kubwa na hauna hela, usijihangaishe kupeleka pua lako hospitali, utadhalilika pamwe kifo.

Sifia sifia yenu hii, huku mkiujua ukweli ulio kinyume na maelezo yenu, kuna kitu si haba ambacho mnakuwa mnanufaika nacho.
 
Mkuu kweli ww ni kilaza....kama hayo aliyoyasema unaona hayana maajabu basi ww ni kilaza inshort akili yako bado ni finyu sana kuchambua mambo.
 
Hoja kasema kwamba mchakato uliotumika kumpata sio sawa. Alipaswa achukue form na wengine wengine,,ndiyo democracy sasa
 
Mambo ya msingi aliyokazia balozi Polepole...
...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu aachie wadhifa huo wiki iliyopita, akikosowa vikali jinsi chama tawala cha mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, huku akitaja historia yake ya utumishi mpaka hatua aliyofikia.

Polepole amesema hakukubaliana kabisa na uamuzi wa CCM kuwapitisha wagombea urais hao mapema mwaka huu katika kikao ambacho hakikuwa na majukumu hayo huku akijisifia kwamba amekuwa karibu na serikali tangu mwaka 2000 na ameshiriki katika masuala mengi ambayo baadhi yalimfanya aende katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa.

"Na hapa nitawasema, wale wanaokuwaga wenyeviti wa kamati za maadili wanajua... Hili ni gumu kidogo.. unajua wakati mwingine unatakiwa ubomoe ili ujenge. Sasa, huu mchakato wa kupata wagombea kwa kweli tumeukosea, nimeongea na mzee mmoja, ndugu yangu, rafiki yangu nikamweleza, akasema pale bwana tulichemka.. Lakini sasa tunatokaje? Nikamwambia, kukiri tatizo ni sehemu ya suluhu.. nendeni mkarekebishe, mkipatie heshima chama chetu..." alisema Polepole.
 
Kikubwa alichokiongea ni kuwa mzoga ndiye aliyeharibu utaratibu wa kumpata mgombea.

Lakini ifahamike kuwa huyu alikuwa nyumba nyembamba ya mzoga kabla ya nyakati hizi. Akamwingiza nyumba yake nyembamba kwenye lile bonge la katiba. Nyuma nyembamba kuipata nafasi, ni sawa na mwenye nyumba nyemvamba yake ameupata.

Kiuhalisia mzoga anataka atawale awamu 4. Ya kwake mwenyewe 2, na kupitia nyumba yake nyembamba 2.
 
1752839943718.jpeg
 
Ndiye aliyeasisi uminyaji demokrasia, kunyima freedom of expression, kutofuata rule of law, kunyang'anya fedha za wafanyabiashara, kuwatupa rumande watu wasio na hatia na kuendesha genge la WASIOJULIKANA
Lakini genge la watekaji bado lipo mkuu tena liko active zaidi. The incumbent alikua makamu wa rais, alikua na nafasi ya kurekebisha ya JPM. Hajafanya hivyo lakini unamuunga mkono chief.
 
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Siku nyingine mkiambiwa muwe mnaelewa bongo zenu zilitegemea kupata maelezo mapya kumbe mmegundua maelezo ni yale yale tu na toba ndani yake kwamba usiendelee na hio endelea na hii bila hivyo utasambaratishwa
 
View attachment 3409784

Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.

Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.

Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee

Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.

Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Hivi kweli mnatuona watanzania wajinga sana,mlijua siri zenu zinakuja kuanikwa?maana siku zote mtu mchafu huwa anakuwa na wasiwasi mda wote
 
...'wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia'...

Mkuu, vurugu zote zinazolalamikiwa na wananchi kukandamiza demokrasia, utekaji na mauaji kwako wewe ndiyo utawala bora?

Kumekuwa na kampeni za kupiga debe kusifia kijumla jumla kuhusu miundo mbinu za kushangaza sana!

Wapenzi wa utawala huu, muwe mnataja specifically kwa majina pamoja na maeneo miundombinu iliyoasisiwa na kukamilishwa na Rais huyu kwa kutekelezwa.

Ninapoishi mimi, sijaona muundo mbinu wowote ulioanzishwa na Serikali ya awamu hii.

Iliyopo na iliyokwama ni ile iliyoasisiwa na awamu iliyopita ya 5.

Huduma za afya unazozisifia wewe ni majengo mazuri yasiyotoa huduma bora za afya.

Kama una gonjwa kubwa na hauna hela, usijihangaishe kupeleka pua lako hospitali, utadhalilika pamwe kifo.

Sifia sifia yenu hii, huku mkiujua ukweli ulio kinyume na maelezo yenu, kuna kitu si haba ambacho mnakuwa mnanufaika nacho.
Kama ndivyo aachie mchakato huru wa uchaguzi ili hao raia wamchague kihalali kwa kuzingatia alioyafanya. Aache uoga
 
Hana Huo Uwezo Wa Kuongea Ya Maana Kwa Kuwa Ni Mikakati Murua Iliyopangwa Na Hao Hao Wanasiasa....
 
Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa na kitokanacho na najisi ni najisi, hili siyo jambo dogo hata kidogo.
Aliyeleta huu uzi ni mtoto na akili zake hazijakomaa.
 
...'wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia'...

Mkuu, vurugu zote zinazolalamikiwa na wananchi kukandamiza demokrasia, utekaji na mauaji kwako wewe ndiyo utawala bora?

Kumekuwa na kampeni za kupiga debe kusifia kijumla jumla kuhusu miundo mbinu za kushangaza sana!

Wapenzi wa utawala huu, muwe mnataja specifically kwa majina pamoja na maeneo miundombinu iliyoasisiwa na kukamilishwa na Rais huyu kwa kutekelezwa.

Ninapoishi mimi, sijaona muundo mbinu wowote ulioanzishwa na Serikali ya awamu hii.

Iliyopo na iliyokwama ni ile iliyoasisiwa na awamu iliyopita ya 5.

Huduma za afya unazozisifia wewe ni majengo mazuri yasiyotoa huduma bora za afya.

Kama una gonjwa kubwa na hauna hela, usijihangaishe kupeleka pua lako hospitali, utadhalilika pamwe kifo.

Sifia sifia yenu hii, huku mkiujua ukweli ulio kinyume na maelezo yenu, kuna kitu si haba ambacho mnakuwa mnanufaika nacho.
Pole sana, ila siyo lazima miundombinu iwe hapo unapoishi wewe. Lakini kiujumla Samia kaupiga mwingi
 
Mkuu kweli ww ni kilaza....kama hayo aliyoyasema unaona hayana maajabu basi ww ni kilaza inshort akili yako bado ni finyu sana kuchambua mambo.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake

Kipindi cha uchaguzi kila mwaka lazima kiwe na hali kama hii kutokana na makundi maslahi.

Lakini as we stand tunaingia Oktoba na Samia and she will win triumphantly. Kama una mtegemea candidate mwingine tofauti andaa tu bajeti ya kutosha ya panadol na lignocaine, maana ni hadi 2030
 
Lakini genge la watekaji bado lipo mkuu tena liko active zaidi. The incumbent alikua makamu wa rais, alikua na nafasi ya kurekebisha ya JPM. Hajafanya hivyo lakini unamuunga mkono chief.
Karekebisha mengi anayoyaweza, yaliyomshinda watasahihisha wengine. Karuhusu mikutano ya vyama, katoa ruzuku zilizozuiliwa, kapandisha mishahara wafanyakazi, kaacha unyang'anyi wa fedha za wafanyabiashara
 
Siku nyingine mkiambiwa muwe mnaelewa bongo zenu zilitegemea kupata maelezo mapya kumbe mmegundua maelezo ni yale yale tu na toba ndani yake kwamba usiendelee na hio endelea na hii bila hivyo utasambaratishwa
Naona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Jiwe.

What goes around comes right back around... wahenga walisema.
 
Back
Top Bottom