Yalipo mabango ya kahaba yanayomtukuza baada ya kukosa ushawishi kwa watu..,Mtaa gani huko uliko?
Hivyo vyombo Dola vilivyohangaika na CHAULA, SATIVA, MDUDE na SOKA????View attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Magu went through more difficult times wakati wa 2015 electionsHujaona kama ni kitu kikubwa kwa sababu uwezo wako ni mdogo.
Sisi tuonaona huyu maza alikalia kiti kwa zali la mentali na uwezo wake nimdogo sana. Kumpitisha kihuni ili aendeleee kuwa kiongozi huo ni unajisi.
Tungekuwa na kiongozi mwenye uwezo haya tunayoyapigia kelele tuaingefanya hivyo.
CCM wameleta mtu anayetumia pesa nyingi kushawishi watu.
Mume wake kaingiaje mkuu? Huenda nae ana msimamo wa wengi!Wewe na mume wako? Watanzania sisi hatumtaki.
ili usimalize bando ungelipaswa hata usiwashwe na press ya Slow Slow .ila sasa umeonekana kuwashwa na alichokisema Slow slow ila unataka CCM(wao) wasi washwe wakati we mwenyewe ushawashwa tayari hadi kuja kuandika uzi.Kanimalizia bando tu, ndiyo nawaasa na wengine wasihangaike
Ni mjinga sana. Anawasemea watanzania wakati vijana wanauawa kama panya kwa kukosoa serikali.Mume wake kaingiaje mkuu? Huenda nae ana msimamo wa wengi!
Hayo ni ya chama chao siyo ya katiba ya nchi.Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa na kitokanacho na najisi ni najisi, hili siyo jambo dogo hata kidogo.
Sonona itakusumbua wewe ambaye unadhani Polepole ni mtu wa maana kisa kamponda Rais Samiaili usimalize bando ungelipaswa hata usiwashwe na press ya Slow Slow .ila sasa umeonekana kuwashwa na alichokisema Slow slow ila unataka CCM(wao) wasi washwe wakati we mwenyewe ushawashwa tayari hadi kuja kuandika uzi.
Nb: tafuta kazi halali otherwise setting default ya hii nchi itakuletea Sonona.
be guided accordingly.
Umeongea ujinga,kama miundombinu kajenga anamuogopa Lisu kwa nn??View attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
umewashwa nini na press pole pole?Sonona itakusumbua wewe ambaye unadhani Polepole ni mtu wa maana kisa kamponda Rais Samia
Wakumbushe mkuu.Alichofanya polepole kinaweza kuwa sawa ila sio kwa wakati huu mkumbuke msimamo aliokuwa nao kwenye bunge katiba halafu haya anayosema hata kwenye serikali iliyopita baahi yalikuwepo mbona hakusema ukiamua kuwa msafi usiguse matope